π’πˆπŒπ”π‹πˆπ™πˆ: ππˆπ“π€πŠπ”π…π€ 𝐍𝐀 ππˆπŠπˆπ‘π€ π˜π€ππ†π” 𝐄𝐏..... 𝟏5




π’πŽππ†π€ ππ€π˜πŽ....
Nilitamani nipige kelele lakini mdomo ulikuwa umejaa matambara..
Nilikuwa nikihisi baridi sana lakini hakuna mtu nilie muona pale kwa muda ule ili anisaidie..

Nilitulia nikiwa natetemeka tu kama kifaranga alie fiwa na mama yake..
baridi la kwenye sakafu lilikuwa likiniingia kwenye miguu yangu na kupanda hadi tumboni..

baada ya muda kidogo nilisikia mlango umefunguliwa..
walikuwa ni wale wale wadada wawili..
niliWaangalia kwa macho makali sana na yenye hasira.. lakini kwa muda ule walikuwa wamevalia mavazi ya kijeshi..

"mambo mrembo mpole..!!!! aliongea hiyo kauli mdada mmoja nakuja kunipiga kofi la shavuni..

'unamjua sana Nic eti.. unamjua nic ni nani mbwa wewe..
unajua kiasi gani nahangaika na yule mwanaume.. unajua ni gharama kiasi gani nimeingia kumkopea hela bank amabazo alitumia kujengea ile nyumba..

Nakuomba kuwa na nidham dada sawa nic ni mume wangu na nilikuwa nimetrac mawasiliano yenu yote kuanzia mda wa kwanza anaanza kukupigia sim hadi sasa..
nakuona unazidi kujirahisisha tu kwake. 
na kwasababu unakuwa mpumbavu acha mimi nikufunze adabu na ujue kabisa kuwa kutoka na waume wa watu ni sumu na haifai kabisa sawa...

Ni afadhali hata mngechati tu kuliko kuongea kwa kupigiana sim. ni kiasi gani umenidharau..
hivi wewe dada inamaana hujajiongeza kabisa kuwa nic anahela gani yakujenga nyumba kubwa kiasi kile.??

"dada jamani muwe na huruma.. sijafikiria hata kuwa na mahusiano na nic.. ni rafiki yangu tu na yale ni matani jamani..
jana alimgonga rafikiangu na gari na kwenda nae hospitali na hapo ndio ilikuwa mwanzo wa kujuana nae..
(niliongea kwa huruma sana nikiwa natetemeka na kulia)

" hapana dada mrembo lazima uumie.. tunawapendaga sana mabinti micharuko kama nyie ambao mnaenda chuo ili kuhangaika na waume za watu badala msome kama mlivyoagizwa makwenu..

" Lilian shost naomba mfungue hayo aende kuwaona wenzake na yeye inabidi tumtumie kwaajili ya kuingiza fedha angalau milioni miatano tu itatosha kwasababu hana mwili huyu..

*****

nilifunguliwa kamba na kuingizwa kwenye chumba fulani kilichokuwa wazi na hakina kitu chochote.. mbele yake kulikuwa na mlango.. tuliingia kwenye ule mlango pia hapakuwa na kitu.. upande wa kushoto tu wa pale tulipoingia kulikuwa na mlango mwingine.. tuliingia na kukuta wasichana kama nane...

welikuwa wakilia maumivu ya tumbo na wengine wao walikuwa wamelala usingizi.. nilibaki natetemeka nikijiuliza wamefanywa nini wale wasichana lakini sikuwa na jibu kwa wakati ule..

Nilisukumiwa mule ndani kisha wakafunga mlango na kuniambia nijiandae na mimi kwa kazi kubwa nitakayo anza kuifanya kesho..

nilichungulia na kuona wamefika mbali..

nilirudi na kukaa karibu na wale wasichana ambao ni wawili tu walikuwa macho wakiugulia tumbo.. baada ya muda aliamka mwingine mmoja na kukaa.. pia alikuwa anaugulia tumbo..

"Martha ni wewe.?? nilishtuka sana kumuona binti kama martha akiwa amechoka sana... hata kuongea alikuwa na shida sana..

Ni mimi rafikiangu.. nakuomba ondoka huku hajra usije ukafanya chochote utakufa tafadhali hajra.. usijenge ukaribu na Nic siyo mtu mzuri.. ni mwanajeshi lakini wanafanya biashara ya madawa ya kulevya na wenzake pamoja na baadhi ya viongozi wakubwa sana..

Nakuomba tafuta namna ya kutoroka hapa.. Matumbo yetu  yanatumika kama mabegi yakubebea  madawa kutoka dar es salam kuja dodoma na mikoa mingine.. tunakaribia kufa.. nakuomba ukifanikiwa kutoka nenda kwetu kamwambie mama au baba yangu kuwa nimekufa.. siwezi kupona hapa.. nimeoza utumbo wote kwa kubeba madawa ya kulevya.. "aliongea martha huku analia.."

Nilikumbuka maisha niliyokuwa nikiishi nae chumba cha mwanzo kabla sijahamia ndani kwa akina monika na kujikuta nalia pia. japo martha alikuwa muhuni pia lakini alikuwa ni mpole sana kuliko wengine....

"inamaana wanatumia miili ya wasichana kusafirishia madawa.. mbona watu ni wanyama kiasi hiki jamani.. naenda kufa mimi uuuhh...

Nilikuwa nikiwaza kimya kimya huku nimeweka mkono wangu mmoja juu ya mkono wa martha ambae kwa muda ule alikuwa amelala..

wasichana waliopo pale walikuwa wakitia huruma sana.. walikuwa hawatazamiki mara mbili.. kama unamoyo mwepesi unaweza hata ukazimia...

nilivuta kipande cha blanketi kilichopo pembeni yangu na kujifunika kulala usiku ule kwasababu nilikuwa nimechoka sana..

*****

Baada ya chakula cha usiku nic na Monika walipanda kitandani kila mmoja akiwa na ham kubwa na mwenzie..

Monika ndio alikwa wakwanza kuanza kumvua nguo nic..

Nic alikuwa na ham amalize tu kazi yake ili kesho yake ampeleke kwenye kambi kwaajili ya kuwa msafirishaji wa madawa.

 maskini monika alikuwa akijituma akiamini kapata mume kumbe ni Shetani mkubwa..

Monika alianza kuchezea kifua cha nic taratibu na nic pia alikuwa akipapasa maziwa ya monika kwa hisia sana.. kila mmoja alionekana kama alikuwa na mawazo fulani kichwani mwake ila walifichana..

Nic alisogeza mkono na kuanza kuchezea kisimi cha Monika ambacho hakikuchukua mda kililoa kabisa. 

Monika alilala na kutanua miguu tayari kwa kupewa raha..

nic pia bila kuchelewa alipanda juu ya monika na kuanza kumpa ladha ambayo asubuhi hakuipata vizuri kwa maumivu ya kufunguliwa mlango..

"aaahhh... baby mbona bado inauma jamani.. naomba chomoa kidogo mpenzi wangu.. uuuhh jamani baby...

Monika alikuwa akilia lakini nic ndio kwanza alizidi kuisukumia mashine hadi ikazama yote..

ITAENDELEA...

Ni nini hatma ya HAJRA.?? usikose sehem ijayo..






No comments: