JE KUNA UGONJWA WA HAMU YA KUFANYA MAPENZI AU NI KUJIENDEKEZA TU!
AKIPELEKWA HOSPT MADAKTARI WANATUULIZA je ana mpenzi?( maana tulikua tunatoka sehemu moja hivyo tulikua tunamsindikiza) japo tulikua bodin
kwa uoga tulisema HANA lakini alikua nao na akigombana na one of them ndo anaumwa
na kujaamiiina ilikua kawaida sana kwake
Sasa basi juzi nikaambiwa mtu flani muacheni tu awe hata na watoto maana hawezi lala bila kujamiina
SASA NIKABAKI NA SWALI JE HUO NI UGONJWA au nikujiendekeza?
No comments: