NAWASHWA CHINI SEHEMU --. 02





NAWASHWA CHINI
SEHEMU --. 02

ILIPOISHIA..
tuliishia pale ambapo kijana jeff akipewa nafasi yakuanza kufanya kazi kwenye jumba lile la boss lady susan..
ENDELEA..
asubuhi na mapema niliamka nakuanza kufanya usafi kwa kukata majani na kuiweka bustani vizuri kiufupi licha ya jafari kuwa mgeni katika vifaa vile vya kukatia majani alijitahidi hivyo hivyo nakuiweka bustani safi alizunguka nyumba nzima kwa kila jani lilikaa ovyo jafari alisawazisha na kuyakata vizuri, boss suzy alitoka nje asubuhi akiwa amevalia taulo tu tena taulo yake ilikuwa fupi sana taulo ilikuwa imefunika matiti na sehemu ndogo iliposehemu yake huku sehemu kubwa ya chini ikiwa wazi ""wow!! safi sana, very good yani umeifanya kazi vile inavyotakiwa" alisema boss lady suzy huku akinisogelea sogelea "ah! ahsante madam" nilimjibu huku nikiachia fyekeo chini" boss suzy baada ya kuzunguka kila sehemu alijiridhisha kabisa kwa USAF I

 nilioufanya "okey! we endelea na kazi" maddam susan aliongea kimapozi kisha akaugeuza mkia n kuingia ndani.. "hakika inapendeza jamaa yangu kwa style hii boss atakupenda sana na imani yangu lazima atakupa mkwanja mrefu" mlinzi aliongea neno baada ya maddam susan kuingia ndani "aah! kazi ndogo hii rafiki yangu" "eeh! uko vizuri mdogo wangu" tulipiga stori mbili tatu.. masaa yalisogea na sasa yapata sanne asubuhi siku hiyo house girl aliamka akiharisha sana tumbo lilikuwa linamsumbua sana "dada yani tumbo linaniuma kweli siwezi kusimama" ni sauti ya house girl akiwa amechutama nje kidogo ya mlango wa kuingilia ndani "dah! pole umetumia dawa?" baada ya kuwa nimesogelea pale "ndio nimetumia" alinijibu "sawa pumzika kama nichai nitawachemshia kwa leo sio mbaya" nilimwambia yule house girl "sawa kaka angu utakuwa umenisaidia sana yani" alinijibu kisha akajikaza na kunipeleka jikoni akanipa maelezo yote na aina ya chai ambayo huwa anawaandalia kila siku. nilishika kila maelekezo nikawasha jiko la umeme kisha nikaiandaa chai vizuri nakuiweka kwenye chupa ili isipoe kisha nikaanza kupita kwenye chumba kimoja baada ya kingine kuwaamsha wale madada wawili ambao wao walikuwa wamelala. "jeff hebu muashe jackrine mtoto analala huyu yani hawezi kuamka mapema jamani na ngoja vyuo vifunguliwe sijui na hukk atakuwa analala hivi??" boss lady alisema nilipita sebureni na kuivuka korido ndogo iliokitenganisha chumba cha boss na binti yake jackrine. kwa kufata maelekezo niliweza kufika hadi kilipo chumba cha binti huyo. nilifika na kukuta mlango ukiwa umeegeshwa tu. nilisogea karibu kisha nikapiga taratibu "nko! nko! nkooo!" "siuingie" sauti ya jackrine iliskika akiniamuru niingie ndani, nilisita kwanza kuingia kwani kile kilikuwa ni chumba cha binti, "siuingie" alirudia tena "chai iko tayari dada" nilimjibu nikiwa nje ya mlango tu "we utanikaribishaje chai ukiwa nje nimekwambia uingie" licha ya kuwa sauti aliitambua niyakiume lakini bado alitaka niingie ndani moyoni nilijisemea huu mtihani kisha nikasukuma mlango nakuingia kidogo tu. lahaula jackrine alikuwa amekaa kitandani kwake huku akiwa amevaa upande wa kanga tu mapaja nje nje na sehemu kidogo ya kufuri ilionekana. moyo ulilipuka lakini kwa jackrine hata chembe wala kukwapua macho hakuonyesha "haya sema sasa" aliongea jackrine huku akiitingisha miguu yake kitendo kilichofanya kanga yake iezuke nakumwacha uchi kabisa "umeona nini??" jackrine aliuliza huku akinitupia macho "sijaona kitu" nilimjibu huku nikkwa nimeinamisha uso chini. "haya tangulia huko mi nivae alafu! ona hebu naomba nipe ile pale chupi" jackrine alisema bila aibu nafsi ya matamanio ilikuwa inanizunguka sema nilijikaza tu kwa kuwa alikuwa ni mtoto wa boss lady. "haya we nenda mi nivae" alisema jackrine kisha nikatoka "unabahati we boya we niletee mitego ya ajabu nitakunfyonza hayo matiti wewe??" nilijisemea kisha nikaelekea ulipo mlango wa chumba kingine cha marry yeye hakunisumbua nilipomwita aliitika na mda huo huo tuliongozana kuelekea mezani.
************************
tulikusanyika wote mezani huku mi ndio nikisimamia maswala yote ya upishi na upakuaji uandaaji na usundaji vyote nilivifanya mimi kumsidia yule house girl.. "daah!! kaa nawe unywe chai yako mwenyewe" boss lady alisema nilikaa mbele ya jackrine, jackrine alikunywa mara ya kwanza chai kisha akasema daah!!! mama sijawahi kunywa chai tamu kama hii" alisema jackrine huku akinitizama machoni kwa jicho la mitego fulani ya mahaba, nami sikumwangalia sana..
kesho yake asubuhi nikiwa nje boss alikuwa anajiandaa kutoka kuelekea kazini kwake kwakua siku hiyo ilikuwa ni jumatatu ghafla niliskia akiniita kwa sauti nami niliitika "naam!!" kisha nikasogea kufata wito wake mwanzoni nilifikiri yupo sebuleni lakini nilishanga hayupo na alipoita tena ndio niligundua yupo chumbani kwake.. "heeeh!! ananiitia chumbani mwake tena??" nilijiuliza "nakuja madam" nilisogea mpaka pale ulipo mlango wa chumba chake "hodi" "we ingia bwana mtu nakuita mara nyingi hivyo" boss lady alidakia niliingia nakumkuta maddam akiwa amevaa kile kitaulo chaje cha jana tena akiwa amenitegea mgongo kisha akakiangusha nakubaki mtupu nakusema chukua haya mafuta nataka unifanyie massage.." moyo ulilipuka paaap!!!... niliyatoa macho kama mjusi aliebanwa na mlango.. "bado umesimama tu??" boss alisema kisha akajitupia kitandani hivyo hivyo akiwa uchi wa mnyama...
itakuwaje.?? like coment muwasho ndio kwanza unaanza we chakufnya #BAKI___NA__MIMI07



No comments: