Simulizi. Nawashwa chini Hatua --- 01



jaffari nikijana handsome wenye mvuto wa hari ya juu kila binti pale mtaani alivutika sana kumuona kijana huyo, ila tatizo moja tu la jaffari licha ya kuwa mzuri elimu kwake ilimpita kushoto hakufanikiwa kuendelea kidato cha kwanza licha ya kuwa kiakiri alikuwa vizuri hasa kwenye somo la hisabati,sayansi na kingereza, jaffari alitoroka kwao baada ya kuona nyumba nzima ikimtenga kutokana na uamuzi wake wa kukataa kusoma bila ya sababu yoyote ya msingi, jaffari aliishi na mama yake mzazi huku mama yake akiwa ameolewa na mume mwingine kufuatia kifo cha baba ake jaffari aliekufa kwa tatizo la kifua kikuu,(TB), pia jaffari alikiwa na mdogo wake wa kike aliekuwa amemzidi miaka minne maana jaffari anamika20 na mdogo wake tausi anamiaka 16,. ..
TUNAANZA HIVI...
niliondoka nyumbani nikiwa na miaka kumi na saba tu huku nikiacha barua sebureni nikiwasihi wasinitafute mimi naondoka" niliandika hivyo. niliondoka nyumbani na nisijue naelekea wapi kwa nani?? nilienda naomba naomba lift kwenye magari ya kubeba mizigo mikubwa nikatoka kabisa jijini kwetu kutoka mbeya hadi mwanza, nilifika mwanza kwa mara ya kwanza nikiwa mgeni kabisa sijui wapi nianzie wapi niishie, usiku wa kwanza uliokuwa mgumu kwangu niliuvuka salama lakini nikiwa nimeshambuliwa na mbu pamoja na baridi asubuhi yake kiguu na njia nilianza kusaka vibarua vya mtaani ili niweze kuingiza kitu kinywani lakini ajira vibarua mwanza vilikuwa vigumu sana, kwani kila sehemu nilijaribu kunadi sikupata kibarua chochote nilianza kujuta kwanini nimekuja mwanza, niliendelea kuzunguka huku na kule kujaribu riziki huenda nitapa hta elf moja tu yakunikidhi mchana na kesho lakini hakuna matumaini yalipotea kabisa nilikaa nje ya kibanda kimoja cha mama lishe nikiwatizama watu wakiwa wanakula mate yalinijaa mdomoni lakini sikuweza kusogea kuomba licha ya njaa niliokuwa nayo, nilizidi kuzunguka huku na kule lakini hakuna nilichoambulia zaidi ya kupauka tu miguu, ilifika saa kumi nikiwa nazunguka juani njiani nilikuta andazi lililiwa kipande na kipande likiwa chini kwa kua nilikuwa na njaa niliinama na kuliokota kisha nikalila sikujari kuna watu wangapi waliopita pale zaidi nilijari tumbo langu kwanza. nilizunguka sana siku hiyo licha ya kuwa mwanza nilikuwa mgeni kabisa lakini niligeuka na kuwa mwenyeji, katika pita pita zangu niliona kuna jumba moja kubwa la kifahari na nje alikuwepo jamaa mmoja alieshika fimbo kwa haraka tu nilijua ni mlinzi wa pale "hey bro mambo vip?" "safi ase nambie" "shwari bro. dah! mwenzio nashida kweli bro sijui utaniruhusu nikueleze" "sema tu" yule jamaa alinijibu kiucheshi tu nilimtazama kiasi kisha nikasema "bro nimezunguka tokea asubuhi natafuta kazi lakini kila sehemu nayoigusa hamna vibarua huwezi amini bro tokea asubuhi sijala na kazi sijapata" nilimaliza kisha nikamtazama akiwa kimya kunitafutia jibu "mmmmmhuuu!!!" alishusha pumzi kidogo kisha akasema "kweli kazi mwanza mpaka uwe na mdau kabisa lakini usijari mi nafanya kazi humu ndani kwa suzan mi nimlinzi na hata hivyo umekuja muda muafaka kabisa, jana boss wangu alinambia nimtafutie house boy ataeweza kuitunza bustani na kuwatunza kuku vizuri maana humu ndani kuna house girl tu yeye anafanya kazi za ndani tu,.., kazi ipo mdogo wangu" aliponijibu vile matumaini yalikuja na moyo ulitabasamu kwa ndani "mmh!! kwani we unaishi wapi kabisa??" aloniuliza swali moyo ulishtuka sana kwani hakuna nilichokijua hata kimoja kuhusu mitaa ya mwanza "mmh!!" "aah!! usijari bwana ngoja kwanza nikuuganishe na boss wangu naimani kabisa kazi umepata" alisema yule mlinzi kisha akanishika mkono nakufungua mlango mdogo wa geti tukaingia ndani nilimkuta boss lady akiwa anajkandaa kutoka kwani alikuwa ameshikilia ufunguo wa gari huku akiwa na mabinti watatu wakubwa tu.. "aaah!!! ndio mtunza bustani huyu???" "ndio maddam" alijibu mlinzi "dogo unaitwa nani?" boss lady aliuliza "naitwa jeffu" nilimjibu kwa kukigeuza jina langu "ooh! jeffu jina zuri karibu sana" "ahsante maddam" "sa warioba mi nakuamini huwez kuniangusha mpe maelekezo tu kijana wako huyo kamuonyeshe na chumba atachokuwa analala," alisema boss lady suzan lakini ongea yake ilinitia shaka kwani aliongea huku akinitazama machoni jambo lililonifanya niangalie chini mda wote, aliingia kwenye gari nakuondoka zake..
Kwa wale wapenzi wa simulizi za kusisimua na kujaza hisia hii hapa muwasho itakuwasha mwili mzima itakusisimua zaidi huu ni mwanzo tu uhondo upo sehemu ijayo hii ni zaidi ya miwasho nikune hapa nawashwaa aaaaaaaaaaah!!!!!
ITAENDELEA



No comments: