SHANGAZI NAE ANATAKA – 13....15 MWISHO





Siku ziliyoyoma likizo iliwadia, wakafunga shule na Stellah alitembelea dar es laam, ambako licha ya baba yake kuhama kikazi, lakini mama yake ambae ni mwalimu alikuwa bado anafundisha shule ya msingi mbezi mwsho, alikuwa bado haja amishwa, japo walikuwa kwenye mpango huo, lengo kubwa la Stella siyo kumtembelea mama yake, lengo lake lilikuwa ni nikwenda kumwona mpenzi wake James, ambae alikuwa ame mmiss kwa miezi sita, Stellah alikuwa ametamani dudu, lakini mambo yalikuwa tofauti, Stellah alipo fika Dar alikuta taalifa mbaya sana juu ya mpenzi wake huyu, James alikuwa ameacha shule na kukimbilia kwao mkoani singida kwa babu yake, ni baada ya kumpatia ujauzito mwanafunzi mwenzake Khadija, ambae alikuwa rafiki mkubwa wa Stella, taalifa hizo zilimuumiza sana Stella licha ya James kumsaliti, lakini pia amemsaliti kwa kutembea rafiki yake wakaribu sana, na mwisho wa yote Stellah akashukuru, kwa Khadija kupachikwa mimba, maana mala zote tatu ambazo Stellah alishiriki tendo la ndoa na James waalitumia kinga, “inamaana akuwa mwaminifu pengie na mimi ange nipamimba au magonjwa” aliwaza Stellah, Likizo iliisha na Stella akarudi Songea, kuanzia hapo Stellah akaamishia mawazo yake yote kwa Joseph, akiamini Joseph nikijana ambae atakuwanae karibu pasipo kupata madhara yoyote,kama aliyo yapata kwa James, japo urafiki wao haukuwa wa kimapenzi, na alijiapiza kuto kukubari kuingiziwa dudu tena, mpaka amalize masomo yake, ikiwezekena chuo kabisa, shule ilipo funguliwa urafiki wa Joseph na Stella ulizidi mala dufu, muda wote walikiongozana kama mapacha, ata baada ya shule, jioni Stella angekwenda nyumbani kwakina Joseph, au Joseph angekwenda nyumbani kwa kina Stella, siku zote waliendelea kuitana kaka na dada, ata ndugu zao kwa pande zote mbili, waliwaita kwa majina hayo ya kiundugu, yani dada zake Joseph walimwita Stellah dada au mdogo wao naye aliwaiata dada na wazazi walimchukulia kama mtoto wake ,kama yeye alivyo waita baba na mama, hivyo hivyo kwa Dr Lazaro, ambae alikuwa akiwa sisitiza sana kusoma, ukichukulia Stellah ndie binti yake wa pekee, hakuwa n mtoto mwingine, waliishivizuri yani ungezani nifamilia moja, japo kulikuwa nautofuti mkubwa sana wa kimaisha, kati ya familia hizi mbili, wakati familia yakina Stella walikuwa ni watu wenye uwezo mkubwa kifedha, kutokana na miladi ya maduka makubwa ya madawa ya binadamu, aliyo wekwa sehemu mbalimbali nchini, asa alizowai kufanyia kazi baba yake Stellah, yaani Dr Lazaro, kama Mbeya, Arusha, Dodoma, Dar es salaam na nyumbani kwao kabisa Morogoro, pia alikuwa anampango wakufungua duka jingine Songea, wakati kwa kina Joseph walikuwa ni wakulima wanao ishi nje ya mji, katika kijiji cha mateka, wakiishi kwa kutegemea kilimo cha mahindi na maharage, sasa walikuwa kama ndugu, ata familia zao ziliungana, nakusaidiana kama ndugu, huku mala kwa mala Dr lazaro akienda kuwa tembelea wazazi wa Joseph akiwabebea vitu mbali mbali, ata mama yake Stellah apo tembelea Songea alienda kwakina Joseph akitambulishwa kuwa ni familia rafiki, kunakipindi Dr Lazaro aliwai kumlipia Joseph ada ya shure na michango mbali mbali, baada ya wazazi wa Joseph kushindwa, Kitu ambacho watu hawakufahamu ni kwamba, wakiwemo wazazi wao wakina Joseph na Stellah, nikuwa licha ya kuzoweana nakuitana kaka na dada lakin Joseph na Stella mioyo yao ilishaanza kuingia kwenye hisia za kimapenzi, nakusabisha taratibu wazame kwenye uhusiano wa kimapenzi, mwisho wasiku kila mmoja aliweka wazi isiazake juu ya mwenzie, wawili hawa walikubariana kuwa wapenzi, wakipeana ahadi ya kuwa wapenzi wamaisha, licha ya kupeana mashariti ya kwamba, akuna kuonjana mpaka wamalize shule na kufunga ndoa, lakini wote walipendana sana, ungewakuta muda wote wakiwa pamoja, wakionekana wanafuraha sana, wakifurahia uhusiano wao, Ulipita muda mrefu sana atimae, wakamaliza kidato cha nne, wakati wanasubiri matokeo ya mitihani wa taifa, baba yake Stella yani Dr Lazaro, aliamishwa tena nakurudishwa Dar es salaam, safari hii akipelkwa Hospital ya muhimbili, kwenye chuo cha sayansi natiba, MUHAS, kiukweli ilikuwa nisiku ngumu sana kwao, ambayo ilipelekea kila mmoja wao asiisahau mpakaleo wanaposimuliana mkasa huu, wote waliumia sana moyoni, kwani kila mmoja aliamini pengine mwenzie angetafuta mpenzi wingine na kumsaau yeye, asa Joseph ambae alijiona nimwenye bahati sana kuwa na mschan mrembo kama huyu,

“kweli sina
bahati” aliwaza Joseph ambae aliamini kutokana na uzuri wa Stellah asingeweza kukosa mtu wakuwa nae, lakini kwaupande wa
Stellah aliamini kuwa Joseph ata msubiri tu, kutokana na jinsi alivyo mwona kwa kipindi walicho kuwa pamoja, alimwona kuwa
ni mvulana mstaarabu sana tena mvumilivu, hivyo lazima angeweza kuvumilia na kumngojea, kwani kwa upande wake alikuwa
nauakika wa kuwa mwaminifu kwa mpenzi wake huyu, licha ya kupeana moyo wa kukutana tena lakini ukweli ni kwamba siku ilikuwa
Ngumu sana kwa wawili hawa, kila mmoja akiamini pengine mwenzie angeteleza na kutafuta mpenzi wingine nakumsaau yeye,
wakatafuta kitu ambacho kitawafanya watunze kumbukumbu ya penzi lao, na pasitokee mmoja kumsaliti mwenzake, waliamua kuweka
agano (kihapo) lakuishi pamoja, walichokifanya walikuchukua kisu nakujichanja kwenye kidole kidogo cha mwisho, kisha waka
viunganisha vidole vyao vikiwa vina churuzika damu, (kuwa kama mchezo wa kitoto wa pingana) yani kukubaliana, wakapeana
ahadi ya kuwa pamoja maisha yao yote,
Siku ilifika Stella na baba yake walianza kuelekea safari ya dar, wakiwa wame agana na familia ya kina Joseph pia
wakiwa wame waachia bahadhi ya vifaa vyandani ambavo waliona vitakuwa mzigo kwaa, aidha kwakuwa dar vipo au walikuwa na
uwezo wa kununua vingine wakifika dar, miezi mitatu baadae urafiki wa familia hizi mbili ulikuwa umepungua, baada ya baba
yake Stella kuamia Dar es salaam, ila ulibakia urafiki wa Joseph na Stellah tu, ambao kwa sasa walitumia mawasiliano ya njia
ya barua, Joseph akiwa na soma chuo cha ufundi, kinacho milikiwa na shirika moja la kidini, wakati Stellah alikuwa anasoma
kidato cha tano shule ya sekondali ya jangwani, kiukweli Stellah alikuwa msaada mkubwa kwa Joseph, kuhusu mambo ya ada na
matumizi pamoja namichango mbalimbali ya chuo, maana yeye ndie alie mshawishi Joseph kujiunga nachuo hicho, akiahidi
kumsaidia kwenye gharama za chuo, baada ya kupata matokeo mabaya ya mtihani wa kidato cha nne, Stellah alituma fedha kwa
Joseph, ambazo zilimsaidia sana katika matumaizi yake, nakumfanya aonekane kijana mtanashati, wanawake pia wakaanza
kujisogeza kwake, kwa kifupi Stellah akisaidiwa na baba yake Dr Lazaro na mama yake ambae alisha fahamu urafiki wa mwanae na
kijana huyu, Stellah alitumia fedha nyingi sana kumsaidia mpenzi wake huyo, ambae alitambua fika kwamba kwao awakuwa nauwezo
kifedha, napia alimsaidia kama mume wake mtarajiwa, siku zote Stella alikuwa akikwepa kujiingiza kwenye mapenzi, akitunza
ahadi aliyoiweka na Joseph, asa alipokuwa akiangalia jelaha dogo kwenye idole chake cha mwisho,
Joseph na Stella waliendelea kuwasiliana kwa barua wakitumiana picha na post card za mapenzi, wakipeana moyo kuwa
wakimaliza shule wangeanza rasmi kukutana kimwili, lakini mambo yalibadirika, baada ya Joseph kumaliza chuo cha ufundi.

ITAENDELEA……………………………………

SHANGAZI ANATAKA – 14

kuajiriwa kwenye idara ya usalama, sekta ya ulinzi na usalama, kama fundi wa magari, kiukweli Joseph alipunguza mawasiliano
ya barua kwa Stellah, ata Stellah alipotuma barua zaidi ya tatu yeye alijibu moja, wakati huo Stella akiwa mwaka wa kwanza
chuo cha ma Doctor kule upanga, akisomea degree ya kwanza ya u’doctor chuo kikuu cha muhimbili, msimu walikizo yake ya pili,
akiwa chuoni alionelea aende songea kumtembelea mpenzi Joseph, na kutokana na mawasiliano kuwa magumu barua ambayo ilitumia
week mbili kufika songea kwa kipindi hicho, Stellah alijikuta akienda Songea bila taharifa kwa mpenzi wake huyo, kwakuwa
alikuwa anapajuwa nyumbani kwa kina Joseph, nawao wanamjuwa vyema, akaona hisinge kuwa shida kwake kufikia kwakina Joseph,
Week mbili baadae jioni moja, Stella alikuwa anaingia nyumbani kwakina Joseph, alipokelewa vizuri sana na ndugu zake
Joseph, wakimwita dada kama walivyozowea, nayeye akiwaita dada kama alivyo zowea toka zamani, lakini hakumwona Joseph wala
dalili ya uwepo wa Joseph pale nyumbani, lipo muulizia akaambiwa kuwa Joseph hivi sasa anaishi mjini, amepanga mtaa wa bomba
mbili, dada alie mwachia ziwa Joseph, ambae alikuwa anamchumba wake pale pale mtaa wa Mateka, akahaidi kumpeleka nyumbani
kwa Joseph kesho yake, sababu muda ulikuwa umeenda sana, maana aliingia songea mida ya saa mbili usiku, ilipo fika siku ya
pili, yule dada wa Joseph aliongozana na Stella mpaka nyumbani kwa Joseph, kiukweli Joseph hakuwepo, lakini walimkuta
mwanamke mmoja akiwa amebeba mtoto mwenye umri wa week mbili, akatambulishwa kuwa nimke wa Joseph, ni mwalimu washule ya
msingi sokoine iliyopo pale pale bombambili, na sasa yupo likizo ya uzazi, dada wa Joseph akiwa hajuwi lolote juu ya
uhusiano wa Stella na Joseph, akamtambulisha yule wifi yake mwenye mtoto, kuwa Stella ni ndugu yao, anasoma chuo kikuu huko
dar es salaam, basi waliongea kwa pamoja, huku Stella akiwa anajizuwia kuonyesha machungu aliyokuwa nayo moyoni, walikaa
mpaka jioni aliporudi Joseph, na kumkuta Stella akiwa amempakata mtoto wake wa kwanza wakiume, anayeitwa Jayden, Joseph
alistuka sana kumkuta Stella pale nyumbani, kiukweli alijiona msaliti mkbwa, japo hakujari sana maumivu ya Stella, alikuwa
amesaau misaada na upendo alio uonyesha kwake, Joseph alionelea bora, amtoe Stella pembeni kidogo na pale kwake, ili
wakaongee juu ya swala lile, Stellah hakiwa ameficha machungu ya moyoni mwake aliongozana na Joseph wakaenda kukaa ehemu
moja ya jirani, wakiwahacha dada yake Joseph na mama jayden nyumbani wakiwa hawaelewi kinacho endelea, Walienda kukaa maeneo
ya jirani katika bar moja nakukaa, wakitazamana, macho ya Stella yalishaanza kutokwa na machozi, ukweli sura yake nzuri
ilikuwa ikitia huruma, Joseph alishindwa kumtazama usoni Stella, “Joseph kanini umenifanyia hivi?” swalia la Stella ambalo
Joseph alishindwa kulijibu, akabaki ameinamia chini, “Joseph kwanini umeamua kuniumiza mpenzi wangu?, yani yote niliyo
kufanyia nikazi bure” aliongea Stella huku machozi yakizidi kumtoka na sauti yake ikianza kuambatana na kilio, “Stella
naomba unisamehe, kiukweli sikuwa na maana ya kukuumiza,” aliongea Joseph kwasauti ya kubembeleza, “sasa ulikuwa una maana
gani, Jose?, Hen! niambie ulikuwa namaana gani?” hapo Joseph hakuwa najibu “au kwasababu hatujawai kufanya mapenzi?,
si’ungepunguza hamu alafu ungenisubiri?” hapo Stella akatulia kidogo, akatoa kitambaa chake na kujifuta machozi, kusha aka
mtazama Joseph, “ok! Jose akuna, ubaya wewe nimwanamume, basi mimi naomba uniowe na mimi niwe mke wako wapili” aliongea
Stella hakionyesha akuwa na utani, kauli hiyo ilimstua sana Joseph,

“Stella, nitaanzaje, kuoa wake wawili, atadini hairuhusu” aliongea Joseph kwa sauti ya
kuhamaki, akionyesha kuto kukubaliana atakidogo na Stellah, isitoshe nitamwelezaje mke wangu”
aliogeza Joseph akiongea kwa ukali kidogo, maana aliona Stellah ana leta masihala,
“unaniachaje Jose, naomba uniambie wewe, nitaolewa nanani?” aliuliz Stellah kwa sauti iyachini
ilio ambatana na kilio cha kwikwi, Jose akabaki kimya huku akitazama pembeni, lakini sula yake
bado ameikunja kwa hasira, “nitazame Jose,una haja ya kukasilika, unakumbuka hii?” aliongea
Stellah akionyesha kovu kwenye kidole chake cha mwisho, huku sauti yake ikiambatana na kilio
cha wazi, kama kilio kilianza upya, Joseph alifanya kazi ya kumtuliza, mpaka Stellah
alipotulia kidogo, lakini kilio cha kwikwi kiliendelea, “sikia Stella nimepata wazo,
nitaachana nahuyu mwanamke nilie naye, alafu nita ishi nawewe, sababu bado sijafunga naye
ndoa” aliongea Joseph akizani Stella ange tulia nakuupenda ushauri wake, maana aliona kabisa
kama hasipo tumia akili ya kuzaliwa mjadala utakuwa mrefu bila mwisho, “inamaana bado
unafikilia kuendelea kuwa umiza wanawake,” aliuliza Stella, akitakakuanza kuanga kilio kikuu,
“sasa mimi nifanye nini, basi Stellah najuwa unaumia sana kwa sababu ya msaada ulionipa, mimi
nitajitahidi nikurudishie fedha zako zote” hapo Stellah aliganda kama sanamu flani, akimtazama
Joseph, kwa sekunde kazaa, “inamaana urafiki wetu ulikuwa kwa sabab ya fedha?” aliuliza
Stellah na Joseph akakosa jibu, “Joseph wewe siyo Jose wangu ninae mfahamu, naimani Jose wangu
bado yupo nita mpata,tena toka kwako” aliongea Stellah huku Joseph akiamini nimaneno ambayo
hayana maana kwasababu yeye ndie Joseph, na hakuna Joseph mwingine, Stella akaendelea kuongea
huku ameshika mkono wake, nakutazama tena lile kovu kwenye kidole chake kidogo cha mwisho,
“sikia, Jose mimi na wewe tuliweka kihapo, na tukaunganisha damu zetu, nazani unakumbuka kuwa
atujawai kufanya mapenzi atasiku moja,” hapo Stellah akatulia kidogo nakuachia tabasamu ambalo
lili changanyika na uchungu, akamtazama Joseph usoni, akimkaziamacho, naye Joseph alikuwa
akimsikiliza kwa makini sana, maana alianza kuhisi kuna neno zito Stellah anataka kuliongea
“husijari Jose, mimi nitasubiri naimani utani patia mume wangu Joseph, siwezi nikaolewa na mtu
mwingine, mume wngu yupo kwenye damu yako, damu ambayo tuliichanganya siku ile” aliongea
Stellah huku akionyesha kuondoka kwenye hali ya uchungu mwingi na tabasamu lake kuzidi kuwa la
matumaini, maneno hayo ya Stellah, Joseph au baba Jayden aliyachukulia kama ya mkosaji, yasiyo
na maana yoyote, sabau kile kitendo cha wao kuunganisha damu, kilikuwa cha kitoto, alafu ni
kama walikuwa wana jiliwaza tu! kwa kutengana kwao, “huyu chizi nini” aliwaza Joseph,
akimtazama Stellah ambae alionyesha kuwa anamaanisha ancho kisema, “ok! sikukazi ukimwona
unaye mpenda endelea naye, pia nakuomba kitu kimoja, endela kuwa kama dada yangu mke wangu
hasijuwe” alisema Joseph akionyesha msisitizo, wa jisi anavyo msamini mke wake, “husijari kaka
Jose, nitamweshimu wifi, na mimi naomba uni tunzie mume wangu nitakuwa nakuja kumwangalia mala
kwamala” aliongea Stellah akiwa kawaida kabisa wote wakacheka, lakini moyoni Joseph
akashangaa, “hivi kunamachizi wanasomea u doctor?” aliwaza huku wakiinuka nakuanza safari ya
kurudi nyumbani kwa Joseph, “tena karibu sana siku yoyote na muda wowote” aliongea Joseph
akijuwa kuwa anamzuga Stellah na ndoto zake za alinacha, “nashukuru sana, nitakuja mala
kwamala, kumtazama mume wangu” baada ya kuongea aneno hayo, walibadiri maongezi wakaendelea
kutembea huku wakiongea maongezi mengine kabisa, na sura ya Stellah ikarudi katika hali ya
kawaida kabisa.

ITAENDELEA…………………………

SHANGAZI ANATAKA – 15

Stellah alimaliza likizo yake, akiwa nyumbani kwa wazazi wa Joseph, lakini aikupita
siku pasipo kwenda nyumbani kwa Joseph, kibeba vitu mbali mbali ikiwepo vyakula nanguo za
mtoto, mafuta na vitu mbali mbali ambavyo muhimu kwa mtoto, pia ata vikengele va kumbembelezea
mtoto, huku mke wa Joseph akimsifia kila mala, kuwa ni mzuri na mkalimu sana kwao, aliagana na
Joseph na mke wake, na kurudi Dar es salaam, akiwa ahidi Joseph na mke wake kuwa, atawasaidia
kwa kila kitu, atakachoweza kuwa saidia, pamoja na matunzo ya mtoto wao, Stellah alipo fika
nyumbani kwao Dar es salaam, aliwasimulia baba na mama yake yaliyo mkuta, ndipo Dr Lazaro
akamsahauri kutafuta mchumba kisha aolewe, lakini Stellah akawaambia “tayari ninae nangoja
muda ufike nitawajulisha” japo nao walishangaa kwa ualaka wa mtoto wao kumpata mrithi wa
kijana Joseph, lakini wali muunga mkono huku wakiwa hawamjuwi kijana mwenyewe ninani,
walimsikitikia sana mtoto wao kwa pigo alilo lipata,
Siku zilienda, Stellah akamaliza chuo, na huku akisaidiwa na baba yake, alipata kazi
kwenye Hospitali ya muhimbili, licha ya kufanya kaazi kwa juhudi, lakini kila mwaka Stellah
(sasa ni Doctor) akijitahidi kuwatembelea wakina Joseph na mkewake na mtoto wao Jayden, japo
mala moja, akiwa nazawadi nyingi kwa mtoto Jayden, ambae kila alipo zidi kukuwa alikuwa
anazidi kufanna na baba yake, na zawadi nyingine kwa Joseph na mkewake, ambae ni mama Jayden,
Stellah na mama Jayden waliishi vizuri, huku mama Jayden akiamini kuwa Stella ni wifi yake,
ata Jyden alipoanza kupata ufahamu alimtambua Stellah kama shangazi yake, huku Joseph akisahau
kabisa maneno ya Stellah, akiaidi kumpata mume toka kwake, zaidi alizidi kuchukulia kuwa
Stellah ni mwanamke alie wai kumpenda sana na kuchanganyikiwa na penzi lake, kiburi hicho
kilisababisha Joseph ajaribu kumshawishi, Stellah wafanye ngono, lakini Stellah alimjibu kama
utani, “aitawezekana kaka, uoni ahibu kutembea na dada yako” kiukweli uzuri wa Stellah ulizidi
mala dufu, siyo Joseph peke yake ata, vijana na wazee wengi walimfwata Stellah, kuna kipidi Dr
mwenzie mmoja alimfanyia surprise ya kumchumbia, kwa kumwadalia birth day ya siri na kuitaji
kumvesha pete, mbele ya mzee Lazaro na mke wake, lakini jibu lilikuwa fupi, “samahani niye
tayari” hakuna alie hamini, maana akuna aliwai kumwona Dr Stellah akiwa na mtu yoyote. Stellah
aliongeza juhudi za kufanya kazi huku akifunga duka kubwa la dawa za bina damu, maeneo ya
mbezi, akiwa ame nunua maeneo mawili na moja wapo kujenga duka hilo, na kuliita Matumaini duka
la dawa, baada ya mwaka moja alianza ujenzi wa nyumba yake huko huko mbezi, akisaidiwa na
wazazi wake akamaliza ujenzi nakuhamia kwake, akitoka kwa wazazi,
Jayden akiwa na miaka kumi, na moja alisha fikia darasa la nne, ndipo shangazi
alipoanza kuonyesha nia ya kumchukua na kwenda kuishi naye Dar es salaam, lakini akuna alijuwa
nia ya shangazi, huku wakijuwa niupendo wa zati alionao Stellah juu ya mtoto wao, walikubari,
lakini Stella akuweza kumchukuwa Jayden kipindi hicho sababu alipata ufadhiri, wa kuendelea na
na ngazi za juu za masomao ya u doctor wa maswala ya uzazi kwa wakina mama, akifadhiriwa na
shirika moja la kijamii la huko ujerumani, na masomo hayo alitakiwa akasomee ujerumani,
licha yakuwa mbali sana, lakini alijitaidi kila hapatapo likizo yakuja Tanzania,
lazima awatembelee wazazi wake kwanza, ambao walisha staafu na sasa walikuwa wana ishi kwenye
mjengo wao mikocheni, pia Dr Stelah angeenda songea kuwa salimia wakina Joseph na familia
yake, akiwa amebeba zawadi nyingi sana kwa Jayden, akika upendo wake ulikuwa mkubwa sana kwa
mtoto huyu, miaka mchache baadae shangazi alikuwa amesha maliza masomo yake nchini ujerumani
akarudi Tanzania na kufunguwa hospital yake maeneo ya mbezi kwenye eneo ambalo mwanzo
lilikuwepo duka lake la madawa, kipindi chote shangazi au Dr Stella alikuwa akiwakataa wanaume
wakila aina waliokuja kwa ahadi za kila namna, kipindi hicho ndicho kipindi ambacho Jayden
alikuwa amemaliza darasa la saba, na kuchukuliwa na shangazi, na pasipo kujuwa shangazi
alikuwa akimkagua Jayden sehemu za siri, asa ikitokea nakipindi Jayden akiumwa, alipenda
kumtibu mwenyewe, hapo angemvua nguo nakumkagua vyema dudu na maumbile yake kwa ujumla,
akijilizisha na ukuwaji wa viungo na mwili wa mume wake mtarajiwa, akisubiri amalize kidato
cha sita nipo waanze kushiriki tendo la ndowa, kwani aliamini ata umri wake utakuwa unafahaa,
hayo yote akidai ni kihapo alichowekeana na baba yake, na kuhamishia kwa mtoto baada ya baba
kushindwa na kusaliti,
“wifi hivyo ndivyo ilivyo kuwa, siku taka kuvunja ndoa yako, kwasababu wewe hukujuwa
kitu, na ahukuwa na kosa, sikutaka kutembea na Jayden akiwa mtoto, nilisubiri amalize shule,
aavuke miaka kumi na nane, nasasa nikijana mkubwa tu!, mimi siyo shangazi yake mimi ni mke
wake” alimaliza shangazi Stellah, Jayden na mama yake waki shangaa, kwa jinsi story ilivyokuwa
tamu, “inamaana wewe siyo dada wa baba Jayden?” aliuliza mama Jayden akiwaangalia kwazamu, Dr
Stella na baba Jayden “nazani nimesha kuambia kila kitu” alijibu Dr Stella au mama Jada “na
amkuwai kukutana kimwili?” aliuliza tena mama Jaydeni au bibi Jada “aswaaa, hakuna aliewai
kuingiza ata kidole cha mkono” alijibu tena shangazi ambae alikuwa anaamini kuwa yupo sahii
kabisa kwajambo alilolifanya

“Eti mume wangu nikweli anacho ongea wifi?” mama jayden alimwuliza mume wake ambae muda wote
alikuwa amekaa kimya kajiinamia, “baba mkwe mweleze mama nayeye ajuwe kama nikweli niliyo
yasema?” aliongea mama jada au Dr Stellah akimwambia baba Jayden, huku Dr Stellah akuwa na ata
chembe ya utani, “nikweli mke wangu, huo ndio ukweli halisi, lakini siku juwa kama Stella
angefanya aliyo yafanya, yani ni haibu kubwa sana kwenye familia zetu, na wale waliotufahamu
toka zamani” aliongea baba Jayden kwa sauti tulivu na nzito iliyo jawa na mfadhaiko, “
samahani baba si,vyema ukiniita kwa jina, ni bora ukiniita kwa jina la mwanangu yani mama Jada
au mkwe, alafu mimi ni mke wa mwanao, ahibu ya nini?” aliongea Dr stellah kwa sauti ya upole
iliyojaa adabu na heshima, kanakwamba anaongea na wakwe, hapo mama Jaden akatulia kidogo,
kisha akamtazama Jayden akiwa amempakata mwanae Jada, “mwanangu nawewe ulianzaje anzaje ku…
yani haa! watoto hawa jamani, yani ata kuogopa kidogo mwanangu?, we mmama kama huyu…
uliwezaje mwanangu?…” ukweli mama Jayden alishindwa kuongea “mama samahani, hapo unamkosea
mumewangu, uwezi kumwuliza hivyo mbele yangu, na hiyo ni siri yetu, kama mmesha elewa
kilichotokea, naomba mume wangu akaoge, ili ajiandae kwa chakula” aliongea tena Dr Stellah
kwasauti ya upole yenye hesima na adabu, wote wakakubali Jayden aende kuoga,
Kumbe ujio wa wazazi wa Jayden, shangazi aliufahamu mwzi mmoja kabla,akaamua kumficha
Jayden maana angekosa amani kusikia wazaziwake wanakuja, wazazi wa Jayden walipo fika na
kumwona mtoto waligundua amefanana sana na Jayden, kwa mama Jayden haikuwa tatizo maana Jayden
amefanana baba yake, pia alikuwa anajuwa kuwa wifi yake ni dada wa mume wake, mtoto kufanana
na Jayden nisawa maana ni ndugu, tatizo likawa kwa baba Jayden au Joseph, alipo mwona mtoto
kengere ya hatari ikagonga kichwani kwake, ndipo alipo jikuta ameuliza juu ya baba wa mtoto,
na Stella akuficha akawa chana live kwamba mtoto ni wa Jayden,*******
Muda wakulala Jayden na mpenzi wake, wakihapo cha kurithi Dr Stella akiwa chumbani
kwao, waliongea mengi sana ikiwa ni pamoja na mipango yao yakimaisha, huku chumba kingine mama
na baba Jayden walikuwa wajadiliana juu ya mausiano ya Jayden na Dr Stellah, kweli ni alali
kwa Jayden kuishi na shangazi wa hiyari kama mke wake?, atimae asubuhi ikawadia, siku ile
jayden akwenda chuo, baada ya kunywa chai baba Jayden akaomba wote wakae bale sebuleni waongee
jambo, dakika chache baadae maongezi yakaanza, baba Jayden alisema kwamba kiukweli yeye na mke
wake wame kubari kwa moyo mmoja Jayden kuishi na Dr Stella,lakini walicho itaji nikwamba Dr
Stella amchukulie Jayden kama walianza kukutana wao na asichukulie kama ni kisasi cha
kuthalitiwa na baba yake Jayden, Dr stelah aliwaahidi kwa kusema kuwa yeye ameamua kuolewa na
Jayden kwasababu ya mapenzi yake toka moyoninasiyo kisasi,
Mahisha yaliendelea vizuri pale nyumbani, wakiishi kwa amani huku Dr Stellah
akiwaheshimu wazazi wa Jay den kama wakwe zake japo mama Jayden, wakati mwingine alikuwa
anakosea na kumwita Stellah wifi, atimae likizo ikaisha na wazazi wa Jayden waka rudi songea
nakumwacha Jayden na mke wake, nao Jayden na Dr Stellah waliishi vizuri na kwa upendo na
amani, mpaka mwisho wa story hii, nikwamba Jayden naye Doctor anafanya kazi hospitary ya
muhimbili, licha ya kuwa yeye na mke wake walifungua hospital kubwa mbili nyingine, pia
walijenga nyumba nyingine mbili na kufungua shule, primaly and secondaly academy school, na
tayari wameshapata watoto wengine wawili, siku zote waliishi maisha ya furaha na amani, kwani
ata wakina Dr Suzie walisha fahamu ukweli kuwa Dr Stellah na Jayden ni wapenzi, japo mwzo wali
ashangaa sana lakinibaadae walijuwa siyo ndugu na kuwazowea, wakawaona wakaida, mwanzo ikuwa
ngumusana kwa Dr Suzie kukatisha mausiano na Jayden, lakini mpenzi wake alipo maliza chuo
ikamlazimu kufanya hivyo, ingawa mechi za mpenzi wake azikumfikia Jayden..

MWISHO






No comments: