JINI MAHABA LINAVYONITESA LINANIINGILIA MPAKA KINYUME

Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 29 ni mkristu na ni mzaliwa wa morogoro mwenye asili ya mkoa wa kilimanjaro.Wakati wa utoto wangu nilikuwa ni mtu mwenye akili sana.Kuanzia la standard 1 mpaka form 4 nilikuwa naongoza nikishuka sana nakuwa mtu wa pili au wa tatu.Kifupi nilizaliwa nikiwa na akili sana pia nilikuwa na nyota ya kupendwa na watu na nililelewa kwenye mazingira mazuri nikiheshimu kila mtu.
Tatizo hili lilinianza nilipokuwa shule ya msingi yaani nilipofika std 7. Nilikuwa napita karibu na mto na kuna mti mkubwa.Nilihisi nywele kusisimka na nikawa kila nikipita hapo naokota pesa. Tabia hiyo iliendelea kila siku mpaka jamaa na wazazi wakawa wananiambia nawaibia na kusingizia naokota.Mpaka namaliza std7 nilikuwa sijawahi kutana na mwanamke.Nilipofika form 2 nikibalehe bt hapo ndipo nilipoanza hisi utofauti.Nilianza kupata wet dream ila nilijua ni kawaida kama mwalimu wa biology alivyotufundisha bt cha kushangaza ndoto hizo zilikuwa ni endelevu.Mwaka huo huo nilipata dada mmoja akawa mpz wangu ila nilipokuwa namdu sikuwa nahisi raha kama ambavyo naota.Pia nikaanza tabia ya uongo, uchonganishi, unafki, hasira pia nikawa nachukiwa na wanafunzi na hata walimu bila sababu.
Nilipomaliza form 4 nilifaulu kwenda A level pindi hko nilikuwa na mwanamke m1 ambae alikuwa na mimba yangu bt cha kushangaza ile mimba ilitoka kwa mazingira ya ajabu.
Nilipofika A level nikawa na tabia ya kujichua na kupenda wanawake kupitiliza.Nilikuwa natoroka shule na kutafuta wanawake kuanzia mabaamedi, mama guest mpaka wanaojiuza nikikosa napiga punyeto huku na zile tabia zingine zikiendelea.
Nilienda chuo kikuu k1 moro na kuendeleza hizo tabia mpaka nilipomaliza chuo na kuanza kazi arusha.Wakati nilipokuwa chuo nilimtia dada m1 mimba ila pia mtoto alifia tumboni bila sababu.
Nikiwa kazini arusha mabosi na wafanyakazi wenzangu wakawa wananichukia bila sababu mwisho nikafukuzwa.
Siku moja nikiwa arusha wakati nimefukuzwa kazi nikaenda kanisa la safina.Nilijishangaa nilipopandisha mashetani baada ya maombezi na kuanza ku confess na hayo mashetani yakasema yote tangu kuniingia mpaka walivyosababisha kuua watoto wangu pia kunisababishia UKIMWI, kuchukiwa, kutopata maendeleo mi na familia yangu yote.
Nilimshukuru mungu na kuanza maisha mapya ya maombi ila sasa kuna lingine limeibuka.Nikipitiwa na kulala bila kusali huwa naingiliwa sana kinyume na maumbile nikiamka najikuta nimechafuka. Nguo zangu za ndani zinachafuka sana.Nateswa na haya majini natamani kujiua husasani kwa vitendo ninavyofanyiwa pia mi ni muathirika bila kupenda. Nimechoka na maisha haya sijui nitafanyaje?
Mnanishaurije wadau?
Natamani nikipata pesa niende nigeria kwa tb joshua kwa ajili ya maombezi.


No comments: