MSHIKE MWANAMKE SEHEMU HIZI ZINA HISIA KALI SANA

1. SEHEMU YA NDANI YA MAPAJA.
Tumia ubapa wa kiganja chako kupapasa kwa ulaini sehemu ya ndani ya mapaja yake,fanya hivyo juu juu huku ukimbusu busu mapaja yake.
2. MAKALIO YAKE.
Wanawake wengi wanapenda makalio yao yachezewe kimahaba, anza kwa kuyapapasa papasa, endelea kwa kuyaminya minya kwa kutumia vidole, kisha uwe kama unayachapa kibao hivi (usimuumize). Yabane bane na mikono yote miwili, yapikinye pikinye kimahaba. (ila angaia usifike mbali kwai kigoma ndiyo mwisho wa reli)
3. MIISHO YAKE.
Miguu yake imejaa miishio ya mishipa ya fahamu kiasi ambacho baadhi ya wanawake wanaweza kufika katika kilele cha burudani ya tendo la ndoa kwa miguu yao kusuguliwa na kupapaswa. Tumia kila ujanja ulionao kuchezea miguu yake .
4. USO WAKE.
Mwanamke atafurahi sana utakaposhika uso wake katika hali ya mahaba na huku
ukitabasamu. Wakati ukifanya hivyo unaweza kumbusu midomo yake,mashavu na kwenye paji la uso.
5. HIPS ZAKE.
Sehemu hii ni moja ya sehemu ambazo zitamfanya mwanamke ajisikie amekubalika kabisa iwapo utashika wakati wa tendo la ndoa. Mkiwa mmesimama hata kabla ya game kuanza, simama nyuma yake sambaza mikono mwilini mwake, zaidi cheza na hips zake.
6. G-SPOT
Sehemu hii iko ndani ya uke ambayo inapata hisia kubwa sana ikibonyezwa
bonyezwa,sehemu hii ipo sentimeta 5 kutoka mlango wa uke na iko katika ukuta wa juu wa uke.
Sehemu hii ikibonyezwa na kuchezewa ipasavyo mwanamke anaweza akapiz mara mbili au zaidi kwa wakati mmoja. Hii ni njia rahisi ya kumfikisha mwanamke kileleni, mwanaume aingize kidole kwenye uke na kubonyeza na kusugua sehemu ya juu ya uke ,sehemu hii imekaa kama sponji na huwa ngumu kwa kadiri inavyobonyezwa.
Mwanamke anaweza kujisikiakama anataka kukojoa kabisa na hawezi kukojoa ila raha atakayopata ni kubwa sana.


No comments: