UKWELI KUHUSU MAPENZI YA KWELI NA PESA



















Siku hizi kumekuwepo na malalamiko sana kutoka kwa wanaume,wakidai kuwa wanawake
Wengi siku hizi wanapenda sana
Kuomba pesa,hali ambayo
Imewafanya wanaume wengi kuamini kuwa mapenzi ni pesa,
Kama hauna pesa huwezi kuwa
Na mwanamke jambo ambalo
Si kweli,leo nataka niwambie
Wanaume wenzangu ni kweli pesa
Ni muhimu katika mapenzi lakini
Mapenzi ya kweli hayana uhusiano
Wowote na pesa,”Mwanamke akikupenda kweli hawezi kuwa na Ujasiri wa kukuomba pesa hata siku moja”,Huu ndio ukweli ukimuona Girlfriend wako hana aibu na mwepesi wa kukuomba hela jua
Hapo unaibiwa.
Mwanamke anayekupenda kweli anakuhitaji zaidi wewe katika maisha yake kuliko pesa yako
Lazima aogope kukuomba pesa
Kwa sababu anaogopa usije uka
Mtafsri vibaya na ukamuacha.
Lakini na wewe mwanaume
Unatakiwa ujiongeze kidogo
Umtunze mpenzi wako pale
Unapopata kidogo,mpatie pesa
Japo kuna wengine hujifanya kukataa we mbebeleze mpaka achukue huyo ndio mwanamke
Anaekupenda kweli.
Note:Mwanamke yoyote yule anaekupenda kweli hata awe changudoa hawezi kutanguliza pesa kwenye mapenzi yenu


No comments: