UPENDO NI TIBA

Upendo ni tiba maradhi hukimbia,
Salamu ni shiba buriani yazidiwa,
Kukumbukana ni haiba nuru hutuangazia,
Kwa furaha na mahaba sitochoka kukusalimia,
Za saa hizi kidani cha moyo wangu…………………………….???
&-*-*-*-*-*-*-*-*-*-*-*-*-*-&


No comments: