WANAUME WASIO NA KIPATO NI WAZURI KITANDANI, ZIPO SABABU NNE

Wanasayansi wanasema.
Pesa sio kila kitu, watu.
Kamwe sitajidai kuwa najua mapenzi , au nina uzoefu mkubwa wa mapenzi duniani, lakini  ni kuongea na wanawake wengine tofauti tofauti  kuhusu wanaume  na tabia zao za  sex.
Wengi wao hulazimisha: wanaume wasio na pesa  ni wazuri kitandani.
Huniamini mimi? Hapa kuna sababu  nne tu  za wanasayansi zinazoaminisha hicho:
1.Wao hufanya kwa ajili ya kile walichokikosa.
Theory yangu mwenyewe inasema kirahisi kwamba, ‘’broke’’men wako vizuri kitandani kwa sababu   wao hujisikia hitaji  kwa ajili ya kile walichokikosa kule- nilipomuuliza mtu ambaye ni bingwa wa mahusiano , alielezea, kama mwanaume ana kipato kidogo kuliko wanaume wengine   hufikiria kitu cha kuweza  kuuteka moyo wa mwanamke, hupenda kuonyesha  mwanamke kwamba ana ujuzi  mkubwa kitandani kuliko mwingine.lakini ningeita hio ni kufanyia kazi kwa ulichokipata, sio  juu ya fidia.
Alisema pia,’’ wapo kuangalia zaidi sifa ya maisha kuliko  maisha ya  Anasa.- na hio sifa ya maisha  ni  nzuri sana’’great’’ frequent sex.’’
2.Hawana Msisitizo juu ya kazi.
Watafiti wamegundua kwamba  asilimia 56 ya wanaume  wenye pesa kidogo  kuliko wake zao  imedaiwa  kuwa wako ‘’hot’’ au’’ very good’’ katika swala la sex,katika kulinganisha na kipato chao. Kwa nini? Hawana  mawazo yoyote inapokuja  kutafuta kitu pesa.
Mtu moja alisema, na ni kweli kwamba. Simtetei yule mwanaume ambaye ataacha kazi kwa ajili ya  kuboresha  swala la sex, lakini ni sababu nyingine kwao kwa kuungana na  wanawake  katika kampeini ya  kijinsia usawa ulipe.’’
Oh, sielezei asilimia 90 ya  wanaume wenye kupata kipato kikubwa  pia walisema  ndoa zao zingekuwa na furaha.
3.Kudanganya kwao ni mwiko, uwezekano wa kudanganya ni mdogo.
Mtafiti mwingine  aligundua kuwa  wanaume ambao wako daraja la juu katika jamii ni rahisi  kudanganya  na kuongopa, sijui kuhusu wewe, lakini ukirudi kule nyuma kitandani nyie wanaume ndio mna macho ya kuona , na mikono na vitu vingine kwa ajili yako. Fikiria mwenyewe , utaona kama ni kweli au sio.
4.Huangalia Ego zao Mlangoni.
Wanaume wenye kipato  kidogo  pia huwa wanajisikia kuwa wana haki ya kutosheka wao tu , kwa sababu hawana hisia za kumilikiwa  na mwanamke na si hivyo tu  bali huingia daima kufahamu  hawako radhi juu ya kiimo ama mfuko wa thamani wa dhamana?
Maadili ya hadithi:  usije ukamwacha mtu haraka eti kwa sababu hizo,  sasa unataka wakavunje benki. Nafasi ziko hapo.  Wanaovunja benki ……..uh, mambo mengine ..’’wink’’
Usimdharau mtu kwa kila alichonacho, kama ana pesa  au hana pesa, shughulikia tatizo.
Mindset, ndio kila kitu.


No comments: