WASICHANA PIGA MIZINGA MNAJIAIBISHA MBELE YA WANAUME
Unakutana na msichana mrembo anavutia kwa muonekano na angalau mnaendana mfano dini etc. Unaamua kuanzisha uhusiano nae kwa malengo ya kuwa mwenzio wa maisha (Mke).
Sasa kidogo anaanza kukuambia naomba uninunulie simu yenye whatsapp, mara naomba hela ya mchango wa kitchen party, mara naomba kod ya nyumba, mdogo wangu kafukuzwa shule hana ada, twende Zanzibar holiday.
Zote hizi ni hela daah! hapo hamna hata wiki mbili. Kwa style hii aisee mtatukosa. Sikatai kukusadia lakin isiwe too much jamani kumbuka na mimi nina dhiki na ndugu kama wewe!
Ukija Kipesa Pesa Nitatumia Pesa Siku mbili tatu nikikuchoka Tupa Kule na Uzuri Wako ! Ubaki ukisema Huna Bahati na Wanaume!!
No comments: