ZIJUE SABABU ZINAZOWAFANYA WATOTO WENGI WA KIUME KUWA MASHOGA
Malezi
Malezi ya mtoto ni kitu kikubwa katika kujenga tabia ya mtoto. Malezi ni ujumuisho wa maelezo wanayotoa wazazi kwa mtoto wao katika ukuaji wake .Wazazi wengi uwapa maelekezo yanayopelekea watoto wao kuwa na tabia zinazopelekea kuwa tofauti na jinsia walizonazo kwa mfano mtoto wako wa kiume kumpa kazi za nyumbani ambazo mara nyingi zinafanywa na watoto wa kike kama kupika chakula cha familia,kuosha vyombo, kufanya usafi wa nyumba, mda mwingine ata kazi za mwanamke kwa mumewe anapewa kumpelekea maji ya kuoga Baba na kumtandikia Baba kitanda.Tabia hizi kwa mtoto kunamfanya mtoto hawe njia panda juu ya jinsia yake maana anapofikia umri wa kutengeneza urafiki na michezo na watoto wenzie mara nyingi uchagua kundi lake kulingana ufananaji wake kwa jinsi anavyolelewa.Malezi ya mtoto wa kiume yanatakiwa yatengeneze uwanaume wake.
Video za ngono
Epuka mtoto wako hasaaa aliye chini miaka 18 kutazama kanda za ngono. Kwa maana kuna video za ngono zinazohamasisha ngono za jinsia moja. Mtoto anapoona anapoona ngono za jinsia moja zilizoigizwa na vijana ambao tayari wameshazurika na Tabia hiyo chafu iliyowapelekea kupata maambukizi ya ukimwi wanaamua kutengeneza movie za kuwafanya watu wapende vitendo hivyooo kwa kuonyesha wanavyofurahia hlo tendo pasipo na ukweli.Muepushe mwanao kuangalia hizo video kwa maana kuona kunachukua asilimia kubwa katika kujifunza kitu kwa kwenda kukijaribisha.
Marafiki
Watoto wetu lazima tuwachunge na marafiki wasiokuwa wazuri kwao. Mtoto ni vigumu kumjua rafiki mzuri na mbaya yeye siku zote ufurahia kujumuika na watoto wenzie lakini miongoni mwa watoto wenzake kuna wengine tayari wameshaharibika kutoka kwenye misingi ya familia zao sasa ulazimisha tabia zao kuzipeleka kwa watoto wenzao kwa majaribisho Kama kutaka wafanywe Kama jinsia tofauti na watoto wa jinsia moja.
Familia za walevi
Familia za walevi hasaaa wauzaa Pombe majumbani au wanywa pombe kupitiliza familia zao mara nyingi zinakuwa hatarini kwa watoto kuingia kwenye matendo machafu
1/Wauza pombe majumbani
Hasaa watoto wa mama wanaouza pombe majumbani wanaingia kwenye matatizo ya umalaya kwa maana wateja wengi wanapolewa wanalazimisha kufanya ngono na wauza pombe mda mwingine wanaweza kuwaingilia watoto wao. Pia vitendo vya ngono vinavyoendelea majumbani hasaa chooni na Romance waziwazi zinapelekea misingi mibaya kwa watoto hawa kuanza kupenda ngono mapema
2/walevi wa pombe
Pia familia za walevi wa pombe zinapelekea watoto wao kuwa na tabia ambazo ata wazazi awazijui kwa pombe wanazokunywa uwafanya wawe makini na kutafuta pesaaa na kutojua tabia mpya wanazozijaribisha watoto wao kipindi awapo majumbani Kama kuwaita marafiki zao nyumbani na kufanya Tabia chafu wazazi wakija Kujua tayari watoto washaharibika
UWEPO WA MAJUMBA YASIYOISHA/sehemu zisizofikika
Inasemekana watoto wengi wameanza hii tabia ya ushoga kwa kwenda sehemu zisizofikika na rafiki au watu wasiowajua baada yakufika huko uwalazimisha wavue nguo zao na kuwalazimisha kufanya vitendo visivyo vizuri muepushe mtoto wako kucheza sehemu hatarishi Kama hizooo mtoto anatakiwa acheze sehemu za waziiii
UNYANYASAJI KWA WATOTO
Kuna watu wanapoona watoto ambao awana watu wakubwa wa kuwasimamia wanachukua nafasi yakuwafanya wanavyotaka kama kuwabaka na kuwafanya nyuma ya maumbile. Watoto wengi waliopitia maisha ya unyanyaswaji pengine na watoto wenzao sababu ya unyonge wao au pengine na watoto wa ndugu zao kwa sababu za kifamilia pia ni sababu kubwa yakuwapelekea watoto kuingia kwenye ushoga kwa unyonge waliokuwa naooo.Muepushe mtoto kutoka kwenye unyanyasaji
HOMONI
pia homoni zinachangia watoto wetu kuwa mashoga. Hii ni sababu kubwa inayozungumzika midomoni mwa watu bila kuwa na sababu za msingi kiukweli homoni hazimfanyi mtoto kuwa shoga bali umpelekea Kuwa shoga. Testosterone hormone umfanya mtoto wa kike kutokwa na ndevu kama mwanaume lakini hazimfanyi kuwa tabia za kiume au kumfanya kuwa msagaji. Hivyo hivyo estrogen (Androgen) zikiwa nyingi katika mwili wa mwanaume umpelekea kuwa umbo la kike ata sauti Kama ya kike lakini ushoga upelekewa na sababu hizo juu na nyinginezoo. Wazazi wengine wanapowaona watoto wa kiume wanafanana kama watoto wa kike ujaribu kuwaita kuwatania mambo yao Kama wanawake au kuwalea malezi Ya watoto wa kike.Piamarafiki uchukua nafasi hizooo kuwafanya vitendo vibaya
EPUKA MWANAO KUGUSWA GUSWA SEHEMU ZENYE MISISIMUKO
kuna sehemu zinafahamika kama erogenous zones kama
- Matako
- Uke au uume
- Lips 💋
- Breasts (chuchu)
- Masikio
- Inner thigh
- Neck(shingo) Mmmm
Hayo yote ni Maeneo ambayo Mtu mwingine anapomgusa Mtu uleta misisimko kwnye mwili kwa sababu ya uwepo sense cell. Sasa kwa swala la ushoga kuna watu wana tabia yakuwagusa watoto wetu sehemu za matako na kuwatia madole kunawapelekea misisimko ambayo mtoto huyu akijaribu kuunganisha misisimko hiyo na hisia za mapenzi upelekea libido nzake matakoni. Vidole ni hatari misisimko yoyote kwenye mwili inapounganishwa katika mwili kwa sababu kualert ubongo (kupeleka taarifa mara nyingi) na ubongo unaposhindwa cha kufanya mwisho wake uleleta msisimko mkubwa unapoleta raha mwisho wake kuleta tabia yaushoga
No comments: