HII NDIYO NGOMA DROO KWA WANAUME KATI YA WANAWAKE

{ NGOMA DROO} 
Sikuizi utawasikia wadada wakisema kuachwa na mwanaume asie na pesa nisawa na kuluhusiwa hospital
Na wanaume nao wanasema
Kuachwa na demu mpenda pesa nisawa na kumaliza mkopo benk,
Wanaume nao hawataki ujinga!!!! Wanaume heeeeee


No comments: