JIFUNZE KULALA NA MUME WAKO KITANDANI KWA USTAARABU
UJUMBE WA MATENGENEZO KWAKO MWANAMKE ------๐MUME NI MTAMU๐
๐๐Mume Ni MTAMU ๐๐
๐๐๐๐พMke nywele zako ndefu unashauriwa kuzielekeza nywele zako kando mbali na sura yawako mkiwa mmelala namna hii. Itamfanya Mume wako kuwa huru wakati amelala.๐๐
Funga nywele zako vizuri na uzielekezee kando ili asije kukosa pumzi kwa sababu ya nywele zako na kutokuwa na umakini.๐๐๐๐๐๐
๐๐๐Mwanaume pale mwanamke๐๐พ๐๐พ๐๐พ anapokukumbatia, hakikisha unamfanya awe huru.Epuka ‘kumkaba’ kwani akilala vibaya๐ akiwa amekukumbatia ataamka akiwa na๐๐ maumivu ya shingo kutokana na mkono wako.
๐๐ Mume Ni MTAMU ๐๐
๐๐๐Kama Mume anapenda kulala upande wa ukutani, basi muachie nafasi na uepuke kumsogelea sana. Itasaidia kupata usingizi mzuri na kuboresha uhusiano wenu.๐๐๐พ๐๐พ
๐๐Mume ni MTAMU ๐๐
๐๐๐Mnapolala na mtoto, mkumbuke๐๐พ๐๐พ kumlaza katikati yenu na muepuke aina za๐ ulalaji ambazo mwisho wake itaonekana kama mpo kwenye mapambano ya karate au mieleka.
Nyongeza: Unaweza lala na MUME/MKE wako unahisi kuzimia kwa kukosa hewa maana๐๐พ๐ wengine wanakaba kama nini na vile wananuka midomo khaaaaa๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐
๐๐Mume ni MTAMU ๐๐
Usije ukadhani au kufikiri hazinashida nywele hataakizielekeza alipo Mume❗& Shida ni pale nywele zinakuwa na harufu fulani za kupakwa mafuta bila kuoshwa na ukijumlisha ni za bandia ๐๐๐๐๐๐๐sasa alafu chafu๐๐พ
Nywele safi ni nzuri kuanzia kuzishika hadi kuziona..
๐๐Mume Ni MTAMU ๐๐
Mawigi na mvua na Yamechacha , nunua mwavuli mdogo weka kwenye bochi , mvua ikinyesha jikinge huko ndiko KUTUNZA harufu njema ♥ Kwani mawigi tu❓ Si kuna zile za kushonea pia , rasta za kusikia , hata natural hair (nywele Asilia) Tuza nywele ziwe Asilia au za bandia ๐๐ Zingatia usafi Mfano Peruvian hair zikinyeshewa manyunyu zinakuwa na kauvundo mkilala Hakuna hewaa๐๐พ๐๐พ๐๐พ๐๐พ๐๐พ
Wanawake tukiwa natural na simple huwa twapendeza saana . Ila ndio hivyo sio vibaya kuwa na Wingi na Kadhalika ๐๐๐๐๐๐
๐๐Mume Ni MTAMU ๐๐
Angalau leo unaweza ongea lugha moja Mume/Mke WAKO ๐ bila upinzani. Sababu vitu viko wazi kabisa ni kiasi cha kuangalia tu kipi ni sahihi wakati wa kulala na Mume wako.
Pia ni kwambie tu Mwanamke mwenzangu siku zote usingizi ni kitu kingine bana ๐๐๐
Ila ukisema ukae tu na natural hair ๐ anajua Mke wake ni mkono wa birika wa kutoa๐๐๐พ gharama.๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐
Hahahahahahhah tunapenda urembo Ukitaka kusiwe na harufu Wanawake tubadirishe๐๐ nywele ๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐
Huu ni ujumbe Wa
MATENGENEZO KWAKO MWANAMKE ------๐MUME NI MTAMU๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐
๐๐Mume ❤ ni THAMANI yapasa KUMWESHIMU , MUNGU ๐ mtoa vyote na Mume pia utoka kwake , kwani nini kumdharau wakati wengine hawana wanaomba mfano wa chozi ndani ya jicho , likitoka tu LINDONDOKE kwenye SHAVU , Wasipanguse LIGANDE kwenye viganja vyao alafu Mke waleta dharau
ACHA KIMUCHUKIZA MUNGU ๐๐ Mume ni mtamu ๐๐๐๐๐๐๐๐๐Kwa sababu AMEKUPENDA WEWE ๐๐Mwoshe Upendo wa dhati , wala usififie kadri miaka iendavyo ndivyo UPENDO ❤๐ uongezeke , Mume akusifu na aendelee kunena Binti za watu wengi wametenda mema. ๐๐๐Lakini wewe
umewapita wote . MUME MTAMU๐๐๐
๐๐Mume Ni MTAMU๐๐
♥♥♥Kwa nini ๐ waruhusu fitina❓๐๐ zikwepe MUME NI MTAMU ๐ Mpende na umlinde hilo ni jambo jipya MUNGU amelifanya Mke atamlinda Mume wake , ulizi ufanye kujisikia KUPENDWA , katu Moyo wake usijute Kukuoa maana Wewe ni Mkewe amcha BWANA ๐ moyo wako umejaa Maarifa , kwani upendeleo hudanganya , na uzuri ni ubatili , Bali Mwanamke amchaye BWANA , ndiye atakayesifiwa❗
๐๐Mume Ni MTAMU๐๐
♥♥♥
Mtumie ujumbe wa Mapenzi sio idadi ya mahitaji , mahitaji usemwa bafuni mkiwa mwaoga wote Wawili๐๐๐ Akiwa kazini jumbe za faraja ndio CHEMCHEMI ๐๐๐๐
ya kuonyesha jinsi unavyomuwaza awapo mbali na wewe , akirejea toka kazini ๐ MUME ni MTAMU ❤ Umeivua kanzu yako , uivaeje❓
Umeitawadha miguu uiichafueje❓Mpendwa wako autia mkono wake tunduni . Na moyo wako umechomeka kwa ajili yake . Ondoka Mke mfungulie Mpendwa Mume๐๐๐๐๐
Wahitaji uwepo wa Mume na hasa kumbatio lake lenye kina cha mapenzi MUME ni mtamu
๐๐Mume Ni MTAMU ๐๐
♥♥♥
Kujivunia ni haki yako kwani tunda lako bidhaa ya faida ; Taa yako hazimiki usiku๐๐๐๐๐
Mume ni utamu maridhawa ,hakika atakupenda
TUNDA lako la angaliwa Mume ni mtamu wala
Mwenyewe ๐❤๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐
Jinsi anavyokuchanganya Mume ni mtamu ๐
๐๐Mume Ni MTAMU ๐๐
Aamke amkute ubavuni wake, anamjulia hali. Za Asubuhi ๐๐ TAMU wewe, anakwenda kazini huku anaikumbuka Asubuhi ya kifungua kinywa na Mkewe na anamtumia vijitext๐๐ช nilikuwa ninakucheck tu ๐ Wife๐ช๐๐๐๐
Mume ni mtamu ๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐
๐๐Mume Ni MTAMU ๐๐
Warudi nyumbani kutoka kazini ๐๐๐๐๐ unafahamishwa mtaani kuwa wewe ni mke wa flani. Ukisikia tu like jina ni kama barafu๐๐ imepenya kooni ndani ya joto la December.
Jamani ๐๐๐ Mume ni MTAMU
๐๐๐๐๐
Jikoni unatoa ufundi wako wote, kitunguu๐๐พ๐ shurti ukatie kwenye kibao. Na unamsubiri ule nae.
๐ดNDOA NA IHESHIMIWE NA WATU WOTE ๐
No comments: