JINSI YA KUTUMIA NJIA YA UTABIRI KUMVUNJA NGUVU MWANAMKE ILI ABAKI NA WEWE MILELE
Ok, hebu tuanze kwa kuuliza maswali. Je ushawahi kuwa na girl friend? Kama huna girlfriend mpaka siku ya leo unangojea nini? [Soma: Jinsi ya kupata mpenzi haraka]
Na kama umekuwa na girlfriend muda huu wote, je wewe na huyu girlfriend wako mnaishi vipi? Je mnazozana, mnakosana, ama hamuelewani?
Katika mahusiano haswa inapotokea kuwa nyote wawili mnapendana lakini kuna mmoja wenu hajaridhika na mwenzake basi mara nyingi ukifanya uchunguzi utakuja kugundua kuwa mmoja kati ya nyinyi wawili huwa ana mchepuko/ mpango wa kando.
Na mara nyingi inauma sana iwapo huyo ambaye anakuwa na mpango wa kando ni mpenzi wako, na mbaya zaidi ni pale ambapo bado unampenda huyu mpenzi wako.
Kwa kueleza kifupi ni kuwa umegundua kuwa mpenzi wako ana mpenzi wa kando na wewe hujaridhika na hio hatua ya yeye kutaka kukuacha na kumfuata huyo mwingine.
Ikifikia hapa utachukua hatua gani ili asikuache? Hapa ndipo hii mbinu ya ‘utabiri’ inaingia kati.
Hebu tuuchukulie huu mfano. Wakati mteja ameingia katika duka flani anataka kununua bidhaa lakini hajaridhishwa na bidhaa anazoziona na anataka kuenda katika duka la pili huwa mhudumu kwa kawaida hamkatizi tamaa yake ya kuenda katika duka la pili bali humpa mawazo na hutabiri kile ambacho atapatana nacho katika duka la pili. Kwa kawaida atamwambia, “Jiskie huru kuenda katika duka flani na flani , lakini kumbuka kuwa maduka hayo huwa bei zao ziko juu kupita kiasi, ama hutapata bidhaa mahususi unayotafuta, ama utadhulumiwa nk.
So, huyu mhudumu amefanya nini hapa? Rahisi! Kama huyu mteja ameshawishika na kuamua kubaki hapo, atakuwa ameshinda. Kama huyu mteja ameamua kuenda katika duka la pili, na kugundua kuwa kile alichoambiwa ni kweli na kurudi tena, atakuwa pia ameshinda. Na kama ataenda na hatarudi, basi hakutakuwa na utofauti wowote kama vile awali.
Sasa hebu fikiria kidogo jinsi ya kuitumia mbinu hii kwa girlfriend wako ama kwa mpenzi wako. Unaweza kutumia hii mbinu kumvunja nguvu iwapo kuna mwanaume flani yeyote pale ambaye anamtatiza kihisia.
Kwa mfano unaweza kumwambia, “Uko huru kuendelea na yeye, ni kawaida, inakubalika. Lakini najua kufikia hadi sasa umeshagundua kuwa huyo unayemfuata ana tabia ambayo si nzuri kwako, tabia ambayo inakutatiza na kukusumbua... na utapata kugundua tabia nyingine mbaya zaidi kadri ambapo utazidi kuendelea kuwa na yeye.”
Hapa moja kwa moja atajaribu kuvuta taswira za tabia zozote mbaya ambazo ashawahi kuzishuhudia kutoka kwa huyu mwanaume.
NB: Kumbuka utabiri unaoutoa hapa utakuwa hauna uhusiano mmoja kwa moja na huyu mwanaume bali unasema na kubahatisha tu. Lakini kwa mwanamke atadhania kuwa tayari unamjua huyu mwanaume na tabia zake.
So moja kwa moja kama huyu mwanamke kweli ana hisia kwako anaweza kubadili msimamo wake na kukubali kuendelea na wewe.
Upo!?

No comments: