MESEJI NZURI YA KUMTUMIA MPENZI WAKO KUMWAMBIA KUWA YEYE NDO WA KWANZA UNAYEMPENDA

Watu wanao pendana daima hukumbukana!!! Na salamu 
kusalimiana!!! Afya njema kutakiana!!! Huruma 
huoneana!!! Kwenye shida husaidiana!!! Makosa 
husameheana!!! Katika dhiki huvumiliana!!! Kila 
jambo zur hupeana!!! Maneno mazur yaliyo jaa upendo 
huambiana!!! Ushaur mwema hushauriana na njia 
za mafanikio huonyeshana!!! Mbele ya madui hulindana!!!nai 
ni mmoja katia ya wakupendao,hakika ni 
mm wa kwanza kwanza wengine wanafata

No comments: