WANAUME HUFIKIRIA NINI HASA KUHUSU MWILI WA MWANAMKE
Hii ni habari njema kabisa..
Mara nyingi wanawake huwa wanajizarau wenyewe kwa kujiangalia kwenye kioo kila siku , badala ya kufurahia miili yao mizuri, huanza kusema mikono minene, mara makalio makubwa sana, mara tumbo limezidi, basi atajitaja majina mengi mbalimbali yasiokuwa mazuri.
Haisaidii kitu hizo nguo tunazonunua zilizotengenezwa kwa kipimo cha watu wachache na TV, kuonyesha maumbo ya wale, yanayoonekana ya thamani kuliko yote.
Na wakati mwingine haijalishi nani anafikiria kuhusu miili yetu, mara nyingi inaweza kuwa ni vizuri kusikia mwanaume anachukuliaje mwili wako. Nimewahi kuuliza wanaume wengi kwamba wanachuliaje mawazo ya wanawake kuhusu miili yao.’’Mtiririko’’ niliuliza kijanja .
Haya tuendelee
1.Mikono yako
Hawaangalii mikono yako, wanachoangalia wao ni mambo machache sana- na hayo mambo machache hata pambaja haipo humo. Wanapenda ,miguu, matiti, makalio. Wanasema hawana muda na mikono yako au magoti yako .kwa hio chukua muda wako na pambaja zako
2.Tumbo lako
Niwe mkweli hapa, kama tumbo lako limegawanyika na mwili wako, ni sawa kama binti una tumbo la bia-vizuri, hakika , hio itakufanya usivutie na mwili wako wote, lakini mara nyingi kuliko yote, ni wewe kulitafutia njia ya kuondoa, ni kwamba hatuhitaji mtu awe haupendi mwili wake. Maana hata tumbo lina raha yake . huo ni mtiririko wa mwanaume.
3.Shape ya mwili wako
Wanaume wengine wanawapenda watu wembamba na wengine wanawapendab watu wanene. Wapo wanaume wanaokejeli miili ya wanawake wanene, na magazeti au vinginevyo. Lakini hawaongelei wanaume wanaokubali wanawake wenye maumbo makubwa au makalio makubwa au wanawake wembamba sana lakini wapo.
4.Matiti
Kuna wanaume wanaopenda aina zote za matiti. Ukubwa tofauti tofauti. Chuchu kubwa, chuchu ndogo, kama unavyoona kwenye magazeti. Inawezekana wakati mwingine hawajawahi kuona katika maisha ya kawaida. Uzoefu walionao ni matiti ya kawaida sio yale yasio ya kawaida, yale sahihi, mengi ya hayo yanakuwa yamepandikizwa, iwe makalio yanakuwa yamepandikizwa. Mwishowe kama unapenda titis, unapenda titis, ni kidogo sana kuangalia kipimo, nafikiri ukubwa mara nyingi huwa sio ya kawaida ni ya kupandikizwa, ni wachache tu wenye yao kawaida, kwa mawazo yangu.
5.Uzito wako
Wanaume wengi huwa hawapendi wanawake warefu, wasio na shape, wembamba sana, model body. Media zinaweza kukuambia hivyo, lakini wanaume hupenda maumbo yote. Wengi wa wanaume huwapenda wanawake wenye nyama za kutosha mwilini, wenye uzito na wasio na uzito.
6.Urefu wako.
Wanawake wengi hupenda wanaume warefu, na wanaume hupenda wanawake wafupi ili wajisikie wenye nguvu. Lakini pia wanaume wengi wanapenda wanawake warefu. Nafikiri sikuwahi kusita kuongea na msichana kwa sababu ni mrefu sana au ni mfupi sana
7.Hips zako.
Wanaume hawajali zaidi kuhusu hips zako, hasa. Kwa sababu hips na jinsia yako vinaenda pamoja..wanasema kama wanapenda jinsia yako wanapenda na hips zako kubwa pia, usihofie sana kuhusu ukubwa wa hips zako . hata hivyo nguo huwa hazionyeshi uzuri wa umbo la mtu, lakini mtu anapokuwa uchi umbo lake mtu huonekana zuri sana , wala usihofie umbo lako.

No comments: