WASICHANA WA SIKU HIZI MNAFANYA KAZI YA KUTONGOZA IWE RAHISI

Kusema kweli wadada wengi wa siku hizi mnatufanya sisi wanaume tupoteze uwezo wetu ule makini wa kutongoza .
Haiwezekani we mtoto wa kike unasimamishwa ile kusimama ukiombwa namba unatoa kirahisi rahisi bila ata kubembelezwa na ata ikifikia wakati wa kutongozwa neno moja tu basi jibu linalokuja ni ndio lakini utaweza kunihudumia?.
Sasa nyie mnafikiri sisi wanaume vichaa eeeh au hatuna Akili lazima tuseme ndio na hapo mtatiki then ukishachanua paja tuna move on.
Badilisheni mbinu muwe wagumu kidogo mnatupa tabu sana sisi wanaume wa huku mjini tukipata ile shift ya kwenda kusalimia vijijini tukifika kule mtongozo wake ili kupata mtoto inabidi ujipange tena aswaa maana mtongozo wake kule ni wa ana kwa ana.,
Mnatufanya tuonekane timbulo(domo zege) kwa sababu ya mazoea mnayotuzoesha ,
Siku hizi mwanaume ukitongoza demu una Asilimia 99 ya kumpata yaani unaanza kufikiri jinsi ya kumkunja ata kabla hujamtongoza kwa kuwa unajua ukimtongoza hawezi chomoa.
Mko so easly kwa kweli Raha ya demu umtongoze kwa ugumu ili ata ukimpata unasema kimoyo moyo kwa zile mbinu nilizotumia naweza kufanya ata maajabu ya kutengeneza bomu la nyuklia


No comments: