HUWEZI MFUKUZIA NDEGE ALIYE KUTOKA MIKONONI


Image may contain: one or more people


Kila kinacho toka ktk miliki yako amini kuwa haki kuwa ridhiki yako Bali Mda WA kukipoteza ulishafika.
Usijute kwa mda ulio upoteza kufanya biashara iliyo kuletea hasara ila tafakar hasara hiyo hiyo imekupa funzo gani??
Unapo muacha au kuachwa na Fulani kamwe usihukum moja kwa moja bali tafakar chanzo cha kuachana kwenu na umejifunza nini??
Unapo muacha mtu unakuwa na sababu zako hata kama hawez kuzielewa. Vile vile anae kuacha nae anakuwa na sababu zake sio lazima zikidhi mahitaj yako.
Kila kitu hutokea kwa sababu maalum.
Usiishi maisha ya kulalamika kila SKU kuna wakat jifanye kama hujali hata kama moyon una umia ili tu uwe sehemu salama. Ujasiri na MSIMAMO wako ndiyo mafanikio yako... Kulia lia na kujilalamisha hakuwez maliza shida zako.
. Unapo ona X wako kesho anafunga ndoa usi muombee mabaya maana kuachana kwenu pia mipango ya MUngu inahusika.huenda angeendelea kuwa nawe asingefika hatua aliyopo sasa. Tuombeane kwa kila jambo visasi na chuki havijengi
Kila Jambo lipo kwa sababu maalumu.
Hakuna aliye bora zaid ya mwenzake
Mpenz wako ana oa au kuolewa nawe subir wakat wako..uhai ndo tumaini pekee
MUNGU YUPO
ATAKUPA HITAJI LAKO



  🔞WAKUBWA TU:TAZAMA VIDEO ZA WAKUBWA LIVE UJIONEE STAILI KALI ZA KUMFIKISHA KILELENI MPENZI WAKO




No comments: