Je, Wanaume Wengi Hufa Mapema Kutokana na Msongo wa Mawazo Unaosababishwa na Wanawake?







Pamoja na kwamba wanawake ndiyo wamekuwa wakielemewa na majukumu mengi na mazito kimaisha, lakini ni haohao ambao wamethibitika kuishi kwa muda mrefu kuliko wanaume

-

Katika utafiti uliowahi kufanywa ulibaini kwamba tabia ya kujihatarisha na kukandamiza mihemko ya kihisia kwa upande wa vijana wa kiume, inahusiana moja kwa moja na vifo vya mapema vya wanaume ukilinganisha na wanawake

-

Tabia hizo ni Ugumu katika kufunguka, Ugumu wa kusamehe, Msongo wa mawazo, Ugumu katika kujali afya na Tabia hatarishi kama kuvuta sigara, ulevi na anasa

-

Inadaiwa kwamba Wanaume wengi wana maradhi ya kihisia kuliko wanawake

-

Nini mtazamo wako?





No comments: