Naombeni Ushauri..Boyfriend Wangu Anataka Nimpe Raha na Utamu Wakati Mie Bado Bikira..Nifanyaje?
Tatizo Linalonisumbua ni kwamba kila muda Boyfriend wangu ananisumbua anataka nifanye nae mapenzi, nikimnyima anasema kuwa simpendi, na kiukweli mi nampenda tena sana, na ninajisikia vibaya ninapomuona mpenzi wangu amenuna amekosa furaha,
Kwani hakuna Njia nyingine ya kumfanya aniamini kuwa nampenda bila kufanya nae mapenzi?
Ninachotaka mimi Nimpe Penzi kwenye Usiku wa Fungate kama Zawadi Special kwa ajili yake lakini Naogopa nikiendelea kumnyima nahisi ataniacha au atanisaliti akapate ninachomnyima kwa wanawake wengine
Naombeni Ushauri Nifanyeje?
🔞WAKUBWA TU:TAZAMA VIDEO ZA WAKUBWA LIVE UJIONEE STAILI KALI ZA KUMFIKISHA KILELENI MPENZI WAKO
No comments: