SABABU ZA MME KUWA NA HAWARA






¡) KUTOJUA DHAMANI YA MUMEWE mfano anaona ni mtu wa kawaida sana wakati kuolewa leo ni bahati sana kwasababu huduma zote za ndoa zinapatikana hata usipooa kuna makahaba wengi tu wanatafuta hata mume wa kumweka ndani wanakosa mbaya zaidi kuna WANAWAKE WENYE TABIA NA SURA NZURI hawajaolewa na wanatamani waolewe
¡¡) DHARAU NA KIBURI. mfano unakuta mke kosa dogo tu anaukuza na kufoka, kutukana, na hata kumpiga mumewe anamdhalilisha, anamtishia kumfukuza ondoka kwa nyumba mumewe,hampokei anapotoka kazini au safari, ananunanuna bila sababu za msingi nk.
¡¡i)HANA SHUKRANI mfano unakuta mume anajitahidi kumnunulia mkewe zawadi kama chupi,sidira,viatu,nguo nzurinzuri za kisasa nyingi tu na vizawadi vingine vidogodogo kama choklate nk then mwanamke huyo anaona ilikuwa haki yake kupewa na kuwa navyo wakati yeye hata siku moja hajawahi mnunulia mumewe hata malapa ya 2000 na mumewe huyo ukimwangalia ana pea moja ya viatu soksi na suruali mbili na masharti matatu aliyonunua mwenyewe
¡v)KUTOTII AMRI YA MUME mfano unakuta mume kuna tabia hapendi ka mawasiliano ya usiku na wanaume au wfanyakazi wenzake wa kiume unamkataza anakubali but for fewz day unakuta wanachati tena kwa sms whatsp na calling hapa napo atakataa hana mahusiano nao ya kimapenzi yeye
V)MWANAMKE KUKIRI KOSA NA KULIRUDIA KOSA LILELILE mfano unakuta mmegombana na kosa alilifanya mwanamke anakiri vizuri sana ila baada ya siku tatu nne anarudia kosa lile lile..



     🔞WAKUBWA TU:TAZAMA VIDEO ZA WAKUBWA LIVE UJIONEE STAILI KALI ZA KUMFIKISHA KILELENI MPENZI WAKO




No comments: