Simulizi-JIMAMA TAMU -4








Mtunzi-Mniga Mputa
Sehemu. Ya. 04


Nilijuwa kwamba hili gani ila nilikuwa naomba nafasi na Mimi nikajaribu kutengeneza, aliongea mniga kwa kujiamini,
'"Ujuwe mniga ukishindwa ntakufukuza kazi maana sisi tunaumiza vichwa tutamlipaje deti huyu wewe unang'ang'ania vitu ambavo huviwezi, aliongea bosi kidogo kwa hasira,
'"Sawa nimekubali nikishindwa utanifukuza, aliongea mniga Mara yule deti mwenye gari akadakia na kuwaambia,
'"Jamani muacheni akajaribu mbona wenzake walijaribu ndo wakashindwa, aliongea deti,
'"Sawa nenda ila Leo ndo nataka kuona kama sikio litazidi kichwa maana ufundi nimekufundisha mwenyewe, aliongea fundi mkuu mniga hakujibu Bali yeye akaongoza hadi kwenye gari lilipo huku nyuma mafundi wenzake wanamfata pale kwenye gari ili waangalie,
'"Oi Omy nyie nendeni niacheni peke yangu staki mtu, aliongea mniga mafundi wenzake wakaanza kuondoka huku wanamsema ila mniga hakujari, Bali alichokifanya yeye ni kutuliza akiri yake harafu akaanza kulichunguza gari zima ambapo akaenda kubaini kwamba walikosea kutega tayming ndomaana haliwaki, hapo mniga alifurahi sana alipougundua ugonjwa sasa kwa sababu hakutaka kufanya haraka sana asije akastukiwa akaingia uvunguni na kufungua sampu huku akisikia vicheko kutoka kwa mafundi wenzake, aliifungua na kujifanya anafunga funga na kukaa kama dakika tano hapo akairudishia na akaenda kutega tayming hapo hakuchukua muda alimaliza na kutoka zake uvinguni mwa gari akaingia kwenye siti ya dereva na kuliwasha gari ambalo ilikubali nyundo moja tu ngoma ikaitika na kuwa saylensa hapo mniga furahi aliyokuwa nayo sio ya kifano Mara mafundi wenzake walikuja mbio mbio kwa maana hawakuweza kuamini kama gari limewaka huku ofisini bosi deti na fundi mkuu nao walitoka na kwenye gari ambapo walimkuta mniga ndo anamalizia kujifuta mikono na kitambaa,
'"Duuh kweli wewe mniga noma sana nimekukubali tatizo lilikuwa nini, aliongea Omy
'"Ni mambo ya kiufundi tu,

Itaendelea...
Like share....


  🔞WAKUBWA TU:TAZAMA VIDEO ZA WAKUBWA LIVE UJIONEE STAILI KALI ZA KUMFIKISHA KILELENI MPENZI WAKO




No comments: