THE GUIDE UKISHAKUWA NA NYUMBA NDOGO






THE GUIDE UKISHAKUWA NA NYUMBA NDOGO

Kama ambavyo tunaelimishwa kila siku 

madhara ya kuvuta sigara,na bado mpaka madaktari wanavuta...
na tunaelimishwa kila siku kuhusu pombe,lakini watu wanajikuta
wamefika bar,bila hata ya kujijua...hata kama asubuhi waliapa pombe basi...

basi na hili la nyumba ndogo..kuna watu ni 'almost impossible'kuwaambia
wasiwe na nyumba ndogo.....sasa iliyobaki kama watu wazima sio vibaya
kufundishana 'how to do it the right way........zifuatazo ni kanuni ukizifuata
hutapata matatizo makubwa na pengine uka enjoy life kupita maelezo...

1. Nyumba ndogo LAZIMA iwe na heshima kwa mkeo na Wewemwenyewe, akileta dharau au kujifanya ana mrusha roho wife,UNAPIGA CHINI FASTA.....
hii ndio kanuni ya kwanza na muhimu na ndio muongozo wa mpango mzima..
kama hutaki mkeo ajue,basi iwe hivyo,na sio vinginevyo,marufuku mashindano kati ya wife
na nyumba ndogo...bora zaidi wasijuane wala kukutana kwenye shughuli zao...

2.Nyumba ndogo isisababishe kwa njia yeyote ile kupungua kwa huduma nyumbani au kwa wife...ikiwezekana huduma ziongezeke home,ili 'wasihisi' chochote...hii ni ngumu kwa baadhi ya watu
ukishindwa kipato basi jitahidi,chakula cha usiku.....but ukiweza vyote bora zaidi...

3.Usimponde au kuzungumza siri za mkeo kwa nyumba ndogo au kumuonesha yeye ni bora zaidi
hata kama 'amekukoleza kupita maelezo' hii itazuia kumpa hisia kuwa unataka kumuacha mkeo
na yeye achukue nafasi,hata kama ni hivyo..usioneshe hivyo,iwe siri yako mpaka utakapoamua hivyo..

4.Usimtambulishe waziwazi au kuongozana nae kwenye sherehe za kiofisi au za familia..hasa kwa watu wanaomfahamu vizuri mkeo
unless wewe na mkeo .mpo kwenye process ya talaka officially...akijitia kimbelembele kujitambulisha muonye au mpige chini fasta..

5.Usianze 'kuinvest' mali kwa nyumba ndogo wakati hata future ya watoto bado ya kubabaisha..ukiona nyumba ndogo
ni gold digger...unapiga chini fasta...

6.Nyumba ndogo usiipe majukumu ya mke...kwa njia yeyote hile,kazi ya nyumba ndogo ni
kuku burudisha na kustarehe na wewe,majukumu kwa mkeo...ukifanya kosa hili,si ajabu ukajikuta na nyumba
ndogo ya pili nyingine....

7.Nyumba ndogo lazima iwe kifaa cha uhakika.ikiwezekana imzidi wife..ili mkeo akigundua
awe mpole,ukichukua mwanamke mbovu,wife atakudharau..na asiwe 'kicheche maarufu..utaumbuka.

8.kwa wanaopenda kuhonga,ukihonga gari nyumba ndogo,hakikisha wife analo tayari ikibidi
yawepo zaidi ya moja home,sio wife anahangaika na daladala...nyumba ndogo umeinunulia vitz..
utadharaulika kupita kiasi na wote wawili na jamii ikigundua. PIA KUMDHIBITI KIKAMILIFU, HAKIKISHA KADI YA NYUMBA AU GARI IKO MIKONONI MWAKO!!
9.Usitafute sifa kwa ndugu wa nyumba ndogo...tafuta sifa kwa ndugu wa mkeo.ili hata zogo likitokea
watakutetea....

10.Nyumba ndogo sio wife,usilete wivu kupita kiasi,ukiona uaminifu hakuna,piga chini kimya kimya
sio kuanzisha ugomvi mpaka siri zinavuja.......





No comments: