Utachagua mpaka lini??

Image may contain: 1 person, eyeglasses and closeup
Utachagua mpaka lini??
Elimu
Mwonekano
Pesa
Mvuto


Weka pemben pale unapo hitaji MTU WA kudumu nae..Bali ongea na moyo wako kama una aman kuwa na yeye au LA..
anakupenda na kukuheshimu kiasi gan ? Ana kukumbuka na kukuliwaza kwa mangapi ?
Mazur mangap amekushauri tangu mufahamiane??
Huwez mpata ailiye kamilika kwa sifa zote lazima ukute kasoro
Mwanamke mrembo sana utakuta
Jeuri...Malaya..hapend maendeleo bali kula na kuvaa vizur..hapend suala LA kuzaa au kunyonyesha kwa mda mrefu akiamin maziwa yatalala.
Huwa na dharau na kuamin uzur wake ni kujipatia pesa kwa kudanga.. Hivyo mda wowote akimpata mwenye pesa huweza kukuacha
Mwanaume handsome na mrefu
Huwa na wapenz wengi..kitandan mchovu hawez kitu..hamfikishi kilelen mwenzake..
In jeuri na .MWENYE kujisikia sababu wanawake wengi wana mlea kwa kumpa pesa na ZAWAD..kwa sababu wanawake wengi wanapenda mwonekano wake
Mwanaume mwenye pesa.
Huwa na dharau na wanawake wengi ,huamin kuwa pesa zake huweza mpata mwanamke yoyote yule. Weng wao hupenda wake zao wakae tu nyumban
Mwanaume maskin
huwa hajiamin akiwa na mtoto mzur anahis ana ibiwa mda wote.hawez mkosoa mwanamke wake akikosea akiogopa kuachwa.....
Kumbe fuata una unacho penda usiwape wengine nafas ya kukosoa maamuzi yako..ukiona umependwa basi nawe jifunze kupenda maana huenda pale unapo fikiria kwenda sio sahihi ...macho na maskio visiuponze moyo.
Upendo hujengwa na
Mawasiliano
Heshimianen
Kuaminiana
Kuvumiliana
Kusikilizana
Kuelewana
Kushaurianna
Ndo misingi ya kudumu kwa mapenz muwe na maisha mazur au fukara.
Ukikupenda basi usisite kuonesha upendo.akikudharau usiogope kuondoka
Kumbuka..
Kuna WANAWAKE warembo lakin wanajiheshimu na kujitunza. Hivyo sio kila mwanamke mzur bas ukasema ana dharau
  🔞WAKUBWA TU:TAZAMA VIDEO ZA WAKUBWA LIVE UJIONEE STAILI KALI ZA KUMFIKISHA KILELENI MPENZI WAKO




No comments: