YATAKWISHA TU PIGA MOYO KONDE

Image may contain: one or more people and outdoor
Unampigia simu hapokei
Hata akikuta calls hakutafuti
Unamtumia SMS hata 10 hujibiwi
Ukijibiwa basi ni ukali na kuumiza
Moyo unabak na maumivu
Unakata tamaa
Unataman kulia.
Unajiona huna thaman.
Unahis unaonewa
POLE YATAKWISHA TU
Uliwakataa wanaume wengi
Uliwajibu kwa dharau
Uliwatambishia rafik zako
Kuwa yeye ndo mume wa kesho
Yeye ndo baba watoto wako
Ukawa tayar kubeba mimba yake
Lakin ukaishia kuachwa
Inauma ila YATAKWISHA TU.
KAKA kipind unasoma umechoka
Mabint weng warembo wa shule
Walikukataa na kuona huna hadhi
Leo maisha yana unafuu kwako
Walo kudharau wame zalishwa tu
Wanataman siku zirud nyuma
Uweze kuwa nao
Umeamua Kuoa lakin mkeo shida
Hajui maumivu uliyo pitia,
Leo anakudharau na kukusaliti
YATA KWISHA Tu
Kila unae mpenda anakutenda
Asipo kutenda bas atakudharau
Asipo kudharau bas atakupizia
Yaan mawasiliano mpaka umtafute
Umekuwa mtumwa wake
Haoni shida kukaa siku 2 bila hata kuwasiliana nawe
Siku utampata mtu ambae atatenga mda japo kukuandikia SMS na hapo
Maumivu yote YATAKWISHA
Maumivu ya leo ni furaha ya kesho



  🔞WAKUBWA TU:TAZAMA VIDEO ZA WAKUBWA LIVE UJIONEE STAILI KALI ZA KUMFIKISHA KILELENI MPENZI WAKO




No comments: