Ewe mwanamke Haipendezi kumtengea chakula mumeo kisha ukaondoka
🌹Ewe mwanamke🌹 🌹 Haipendezi kumtengea chakula mumeo kisha ukaondoka🌹.
Haipendezi kumtengea pot la chakula mumeo kisha ajipakulie mwenyewe🌹
_
Haipendezi kumtengea chakula mumeo kisha maji ya kunawa akatafute mwenyewe🌹 🌹Haipendezi kumtengea chakula mumeo kisha maji ya kunywa akatafute mwenyewe🌹 🌹Haipendezi Kumtengea chakula mumeo bila kumwambia karibu chakula laazizi wangu 🌹Haipendezi mume kamaliza kula Kisha aangaike kutafuta kitambaa cha kufutia mikono🌹 🌹Haipendezi mume kamaliza kula vyombo vikabaki mezani wakati wewe mke upo nje unapiga umbea🌹 🌹 Haipendezi Mume kamaliza kula Kisha aaze kufuta au kufagia sehemu aliyolia, wakati wewe upo umekaa unaangalia TV tu 🌹 🌹Ebu badirika🌹
_ 🌹Mume akiitaji chakula mtengee vizuri🌹Mpakulie mumeo ukiwa umetulia kisha mnawishe taratibu, ukimaliza mkaribishe kwa tabasamu 🌹
🌹Mlishe tonge mbili tatu za karibu bwana Kisha muache ale mwenyewe🌹
🌹Kaa nae karibu ale huku anakuangalia mkewe, chakula kiingie tumboni vizuri🌹Mume ana hadhi yake bhana 🌹Raha ya chakula mume ale mke ukiwa pembeni 🌹
_ 🌹usimfanye mumeo akuone kama ujafundwa kwenu🌹 🌹 Mapenzi ni vionjo tuuuu haina kwenda kwa waganga
jinsi utamvyomlea vizuri mumeo ndivyo nae atavyozidisha mapenzi kwako 🌹
🔞WAKUBWA TU:TAZAMA VIDEO ZA WAKUBWA LIVE UJIONEE STAILI KALI ZA KUMFIKISHA KILELENI MPENZI WAKO
No comments: