IJUE FAIDA YA BAMIA KATIKA MWILI NA NGOZI YAKO






IJUE FAIDA YA BAMIA KATIKA MWILI NA NGOZI YAKO 
Bamia ni mboga nzuri inayohusika na kutibu magonjwa mbalimbali katika ngozi ikiwa pamoja na kufanya ngozi yao iwe nyororo kutokana na uteute uliomo katika bamia ambao husaidia kuunda tishu za mwili na ngozi

Lakini pia bamia huusika kutibu chunusi ambazo limekuwa ni tatizo sugu kwa watu wengi ambao wamejaribu kutumia mkorogo wa kila aina na kudunda.

Chakufanya na bamia ili utibu chunusi , chukua bamia 5, limao 1 na maji kidogo. 
Kisha chukua bamia zako zikatekate na uzisage kwenye chombo chako cha kusagia kama vile brenda, kisha chukua kipande cha limao na maganda yake na maji kidogo saga kwa pamoja. baada ya kupata mchanganyiko huo paka usoni  hadi kwenye shingo acha kwa muda kisha bandua kama unavyoondoa maski nyingine usoni.

fanya kitendo hiki kwa muda wa siku tatu katika wiki.


  🔞WAKUBWA TU:TAZAMA VIDEO ZA WAKUBWA LIVE UJIONEE STAILI KALI ZA KUMFIKISHA KILELENI MPENZI WAKO




No comments: