Jinsi ya kumtuliza mwanaune ndani ya ndoa asitoke nje



Watu wengi wanateseka kwenye suala la mapenzi hii ni kutokana na mwanamke kushindwa kujiongeza, basi tumia mbinu hizi ili uweze kudumu na mpenzi wako kwenye mahusiano yenu.
1: Mpigie simu na umuulize kuhusu jinsi siku yake ilivyo

Jaribu kumuuliza upowapi mpenzi, unafanya kazi gani wakati huu, na kumjulia hali mara nyingi pale anapiokuwa mbali na wewe, ukifanya hivyo itakusaidia asikuache.
2. Chukua koti lake punde tu anapowasili nyumbani Habari Nyingine
Akirudi kazini mpokee na usimuache akaondoka hadi ndani au kukaa kwenye kiti bila ya kumpokea koti lake, ukimpokea koti atajihisi wa thamani sana kwako na kukupenda kila wakati.
3. Usimsumbue na masuala ya pesa kila mara
Acha mwanaume akupe mwenyewe pesa, ukiwa unamuomba omba pesa atahisi we ni chini sana na kwamba bila yeye huwezi kufanya mambo yako mengine, hivyo acha kujishusha.
4. Mnunulie zawadi bila kutarajia
Mwanaume hata akiwa na hasira vipi au akiwa na hasira na wewe, zawadi kwa mpenzi wake ni kitu kikubwa sana hivyo basi jipendekeze mnunulie hata shati, ua zuri, suruali, viatu au saa nzuri, ukifanya hivyo lazima ajue kwamba mwanamke wake bado anamuhitaji kila wakati
5. Buni mbinu mpya za ‘mashambulizi’
Mwanamke ndiye nguzo ya familia na kama unaona mumewako au mpenzi wako anaanza kuchepuka au kuwa na wanawake nje jaribu kumpikia vyakula vizuri, muwekee maji ya moto ya kuoga, mbembeleze, jishushe na usiwe juu yake.
6. Usizozane naye Habari Nyingine
Wanaume wengi wanakuwa na masuala ya kuwa na wanawake wengine wa nje sasa wewe kama unahitaji mwanaume wao asikuache jaribu kuwa mpole na tafuta maneno ya kuongea nae ili asipatwe na hasira akaja kukuacha hata wewe .
7.Unga mkono maono yake
Wanaume wengi huwa wanamisimamo yao hasa katika kutaka kumshirikisha mpenzi wake kwenye mambo yake, hivyo atakapotoa maono yake au mtazamo wake kwenye jambo la kuleta manufaa jaribu kuchangia
8. Jiamini
Mwanaume ukitaka asikuache wala kukusaliti jiamini wewe kama wewe kwenye kila jambo unalolifanya mbele yake au nje yake, hii itamfanya kutokukufanya wewe wa chini na usiye na thamani.


  🔞WAKUBWA TU:TAZAMA VIDEO ZA WAKUBWA LIVE UJIONEE STAILI KALI ZA KUMFIKISHA KILELENI MPENZI WAKO




No comments: