KWENU WADADA... Sijui nani alituroga?
KWENU WADADA... Sijui nani alituroga?
Kwann baadhi yetu tunakua na dharau na kiburi kwa waume zetu?Ni kweli hatujui thamani ya ndoa au dharau tu? Mumeo ametoka anaenda kibaruani hata humuagi kwa vizuri una uhakika wa kuonana nae tena? Anafika kazini anapata misukosuko ya kila aina ,kazi yake pengine ngumu sana ,anafokewa na kudhalilishwa na boss,ana madeni yote ni kwa ajili ya kutafuta maisha yenu anachopata mnakula wote pengine hata mamake hampelekei na unafurahia. Anarudi nyumbani amechoka kama punda anategemea akutane na uso wako ulojaa bashasha lakini anakutana na uso ulojaa dharau. Hata ulipo huinuki kumpokea na kumkaribisha anajipokea mwenyewe,wewe unapiga soga,ama unaangalia movie ama unachat,hata hujali kua mume wako ameingia ,unasahau kua huyo ni tofauti na yoyote yule kwenye maisha yako ,umuhimu wake kwako hauna mizani. Anaelekea bafuni hajatengewa maji akafate maji mwenyewe,akirudi ajipakulie ale peke yake. Ikifika wakati wa kupumzika anahitaji kitanda kilopambwa kwa ajili yake lakini wapi!!!!!! Anakutana na shuka lile lile lilotandikwa wiki mbili zilopita hata mtoto alilazwa na kujisaidia hapo. Mke nae anapanda kitandani hapo mume anategemea kupata maneno matamu na laini kutoka kwa mke wake,anahitaji angalau faraja yake,anahitaji shukrani na dua na kupewa moyo na mke wake hapo anakutana na malalamiko na masimango na kudaiwa hiki na kile. Si hayo tu mke anapanda kitandani ananuka domo na majasho na kikwapa,ama ana dera linanuka maziwa ,Mume hisia yote ya kua karibu na Mke wake inamuondoka.Alieturoga nadhani alishafariki. Hivi akitafuta mke mwengine na akakukimbia wewe utasema mke mwenza ameroga? unadhani unaweza kuupata moyo wake.. .
🔞WAKUBWA TU:TAZAMA VIDEO ZA WAKUBWA LIVE UJIONEE STAILI KALI ZA KUMFIKISHA KILELENI MPENZI WAKO
No comments: