MAPENZI NIPE NIKUPE KUPEYANA RAHA SANAAAAAAAA





Fahamu kuwa Mapenzi sio 🍃force wala ubabe wala ubwanyenye ......🍃❤🍃

Kinachotakiwa ni kuwa mwenye Upendo na mwenza wako ulio wadhat kwake ili  Ayafurahiye maisha yake kwako 🍃❤🍃

Kuwa mwenye kumjali Mwenza wako.Mbembeleze kimahaba kila ukiwa nae karibu na tumia simu ukiwa mbali nae  kwavimasege vya mahaba🍃❤🍃

Mpe penzi lenye kumridhisha sio la kuondowa njian kialimradi  tuuu 
......Mapenz yenye kuridhisha ndio yanayokata kiu yenye hisia za kimapenz 🍃❤🍃

🍃❤🍃Hakikisha anaridhika nawe kimapenz ndipo utakapomfanya atuliye nawee 🍃❤🍃

Mapenz ni Nipe nikupeeee.....Mpe mapenz mwenza wako nae Atakupa Mawadah🍃❤🍃


Sabah lkheyr


  🔞WAKUBWA TU:TAZAMA VIDEO ZA WAKUBWA LIVE UJIONEE STAILI KALI ZA KUMFIKISHA KILELENI MPENZI WAKO




No comments: