SINGO: UTUNDU WA KITANDANI






🍇SINGO🍇
Ngoja tuongelee singo 
Singo ni aina ya usafi wa mwili inayofanywa kwa jinsia zote mwanaume na mwanamke 
Kwa lugha ya kigeni Singo ni Body Scrub.
.
.
.
Sasa hii long weekend mwali wangu ni vizur we mwenyewe kufanya singo na kumfanyia mumeo .
.
.
Nawashaurini zaid muwe watu wa kuwafanyia singo wanaume zenu sio watoto wa wanawake wenzenu wanapaukaa ngozi zimewakakamaa kama tambala la deki la mama lishe 
Wanaume wanakua weusii kwa jua ngozi hazina nuru .
.
.Wali wangu msichoke kuwapetipeti na kuwahangaikia waume zenu acheni zile maneno za huko nje oooh mwanaume hata umfanyie nini HABEBEKI LAZIMA AENDE NJE 
Usisikilize maneno ya wakosaji utasikia niache kutafuta pesa nikae nimuhangaikie mume janaume halina shukrani .
.
.
Raha ya singo ni kujua faida zake na maandalizi yaake hapo ndo utajua raha yake kama hujui yote hayo basi hamna raha ya singo hapo
🍇FAIDA ZA SINGO🍇linamfanya msingwaji ang'ae mwili wake
❄awe mtu wa furaha
❄inalainisha ngozi na kuwa msafi
❄damu ya msingwaji huzunguka kwa kasi itakiwayo kutokana na kusuguliwa misuli,hivyo ubongo hufanya kazi ya kupeleka mawasiliano katika sehemu husika haraka sana
❄nyege zitapanda haraka na kufika kileleni hata ukiwa mgumu kiasi gani
❄pia inawaweka karibu na hubby wako
🍇NAMNA YA KUTAARISHA SINGO🍇
🍀Liwa(Dalia)
🍀msio
🍀manjano
🍀mawaridi(Rose)
🍀pachor
🍀pakanga
🍀marashi jabari(marashi rose)
🍀mafuta ya nazi 🍀manukato yoyote
🍀karafuu hasa kwa mwili wa mwanaume au mwanamke kama anangoz ngumu
🍇UANDAAJI🍇
❄Mchanganyiko huo husagwa kuwa unga kisha ukachanganywa na marashi rose na mafuta ya nazi pamoja na manukato,kisha utaacha ili viungo vichanganyike na mwenzake vizur,ni bora ukaacha mchanganyiko huo kwa saa moja hivi kisha ndo ianze kutumia
Kamsinge mumeo atakate babuee sio anatoka nje kama hajaoa vile


  🔞WAKUBWA TU:TAZAMA VIDEO ZA WAKUBWA LIVE UJIONEE STAILI KALI ZA KUMFIKISHA KILELENI MPENZI WAKO




No comments: