SMULIZI: HOUSEGIRL WA KITANGA 08
SMULIZI: HOUSEGIRL WA KITANGA
MTUNZI : KIZARO MWAKOBA
SEHEMU YA NANE (8)
ILIPOISHIA
“Mama yangu! Huyu ni binadamu au malaika?” Fadhili alizungumza huku akipeleka mkono wake kwenye bunduki yake na kuikamata maana alihisi ilikuwa inataka kumletea ukorofi.
Macho ya Fadhili yalikuwa yamefika maeneo ya juu kidogo ya kiuno changu ambacho kiliachanisha tumbo langu dogo na nyonga yangu pana. Kablauzi nilikokuwa nimekavaa kalipanda juu na kupelekea kitovu changu kilichokuwa na kashimo fulani hivi kamdura kuonekana.
Fadhili alianza kuhisi mapigo ya moyo wake yakiongezeka spidi hasa baada ya kunipandisha juu zaidi na kuona maeneo ya madafu yangu ya kifuani ambayo nayo yalikuwa wazi jinsi yalivyokuwa yametuna. Shingo yangu iliyokuwa na pingilipingili ilimfanya kunitazama usoni ili kufaidi zaidi. Midomo yangu mipana kidogo na iliyoonekana kuwa myekundu kutokana na rangi ya ngozi yangu ilizidi kumchanganya mtoto wa watu. Akakumbuka maneno niliyomwambia asubuhi kuwa anyonye madafu yangu halafu yeye akajifanya mgumu na kuingia mitini. Udenda wa tamaa ulimtoka na kujikuta akichafua nguo masiki ya mungu.
“Nakaona katoto kumbe kanavutia kiasi hiki” Fadhili alijisemea huku akipumua kwa nguvu.
Uzalendo ukamshinda kijana yule na kunisogelea zaidi pale kwenye kochi. Aliinama na kunipiga busu kifuani. Nilishituka kidogo lakini nilipomuona Fadhili nIkatulia na kujikuta nikitetemeka. Siku zote nilikuwa natamani sana kitendo kile kitokee kati yangu mimi na Fadhili. Sasa mwenyewe alijileta na kunipiga busu la kifuani.
ENDELEA…
“Mbona umelala kihasara hasara hivyo?” Fadhili alihoji huku akiketi kwenye kochi nililokuwa nimelala. Alichukua miguu yangu na kuipakata kwenye mapaja yake. Nikapeleka mkono wangu na kujifanya najiziba heti asinichungulie.
“Mbona umechelewa kurudi?” nikahoji kwa kudeka.
“Ndio nimechelewa we asubuhi si umeninyima chai” alizungumza Fadhili huku akinitazama kwa kuibia kwenye mapaja yangu.
“Mnh we muongo, mi si nimekupa maziwa ukakataa”
“Sasa hayo maziwa yako yana kitu kweli?” Fadhili alihoji huku akinitazama kifuani kwenye madafu yangu yaliyokuwa yametuna kiuchokozi.
“Haa ungenyonya ili uamini” nikazungumza kwa sauti ya huba ambayo tayari ilikuwa imekwisha chongwa ikatiwa nakshi na baba kwa kushirikiana na kaka Imran. Yaani alichokuwa amebakiza Fadhili kilikuwa ni kama kumsukuma mlevi.
“Nipe basi ninyonye sasahivi” Fadhili alizungumza kwa uchu.
“Nyonya” nikamjibu kwa ufupi.
“Kweli?”
“Unaniuliza mimi wakati wewe ndiye unayetaka kunyonya?” Nilizungumza huku nikigeuza shingoyangu pembeni kumuachia ajiamulie mwenyewe.
“Mnh! Vipi baba amerudi muda mrefu enh?” alihoji kwa sauti ya chini huku akitazama upande ambao chumba cha baba kilikuwepo.
“Shauri yako” nikamjibu kwa sauti yangu ya kubembeleza mtoto wa kike.
“Twende chumbani kwangu basi” Fadhili aliniambia.
“Akaaa mie naogopa” nikajishaua huku nikijiinua pale kwenye kochi na kukaa kitako. Nilikuwa namtamani sana Fadhili, sijui hata imekuwaje hata siku hiyo akalainika mwenyewe kiulainiii.
“Sasa unaogopa nini mrembo?” alihoji huku akinisogelea na kunishika kiuno.
“Kwani hapahapa huwezi kunyonya?”
“Si unajua mzee yupo bwana?”
“Mzee ndo anakukataza kunyonya?”
“Mnh! Naona unanitesa tu mwenzio”
“Nakutesa na nini sasa?”
“Si njaa”
“Kama njaa inakuuma si uende mezani nimeshaandaa chakula?”
“Sitaki chakula chako”
“Kumbe unataka chakula cha nani?”
“Nataka kunyonya maziwa” Fadhili alizungumza huku akichezesha chezesha miguu kwa kupiganisha mapaja yake na macho yake yakiwa kifuani kwangu huku midomo yake akiig’atang’ata kwa hamasa.
“Maziwa gani?”
“Si hayo hapo! Ona yanavyo vutia”
“Mnh Fadhili wewe!”
“Sijui nani kakuambia kuwa ukivaa hivyo huwa unapendeza. Leo umenifurahisha sana Mwantumu, uwe unavaa hivihivi” Fadhili alizungumza huku nikimuona akimeza mate ya tamaa kwenye koromeo lake.
Maneno ya Fadhili yalinifanya nijihisi kama vile nilikuwa nimemwagiwa maji yabaridi mwilini. Kusema kweli nilikuwa nampenda sana mwanaume yule lakini yeye ndio alikuwa anajifanya haelewi. Sasa nikaona siku ile mwenyewe ameingia mtegoni. Kwa kiasi fulani nikaanza kumshukuru dada Bupe kwa ushauri wake wa kuvaa nguo zile na kunifichia nguo zangu za heshima.
“Nikwambie Fadhili” Nilizungumza huku nikimshika kidevu.
‘Enhe….”
“Twende chumbani kwangu” nikazungumza kwa sauti ya kubembeleza
“Inuka basi twende” kaka Fadhili alionekana kama vile alikuwa amechanganyikiwa. Aliniinua na niliposimama akanipiga busu la kwenye midomo. Nikahisi mwili ukisisimka. Nikamkumbatia na kumbana kwanguvu.
“Oooooh!...... Tumuuu!” nikamsikia akitamka maneno hayo kwa sauti ya kutokea kooni na kuzuiwa kidogo kwenye ulimki kabla ya kuachiwa taratibu kwenye midomo yake. Kama nilivyofanya mimi na yeye akanivuta na kunibana zaidi huku mikono yake ikiwa imekikamata vyema kiuno changu.
Pumbavu kabisa, nikajikuta nikikasirika ghafla na kunga’ta meno yangu kwa hasira.
Ndugu msomaji huwezi kuamini hii sasa ni mara ya tatu, kila jaribio la mauaji lilipokuwa likitaka kutokea honi za magari zilikatisha zoezi. Na hivyo ndivyo ilivyokuwa nilipokuwa na Fadhili.
Sote wawili tulishituka kutoka kwenye lile pozi tulilokuwa tumekaa na Fadhili. Tulikurupuka mithili ya paka aliyefumwa akiramba kijungu cha mboga jikoni. Nilimuona Fadhili akikurupuka na kuelekea chumbani kwake. Namimi kwa haraka sana nilijiinua na kuuendea mlango wa jikoni ambako nilitoka nje na kuelekea nje kufungua geti.
Nilikuwa kama vile zezeta, sijui teja, au zombie kutokana na akili yangu pamoja na uchovu niliokuwa nao kutokana na shughuli ambazo nilikuwa nimekabiliana nazo tangu asubuhi ya siku hiyo.
Nilipofungua geti mama aliingiza gari na kupaki kisha akaniamuru nisiondoke. Niliogopa sana hasa kutokana na mavazi ambayo nilikuwa nimeyavaa yalikuwa ni tofauti na yale ambayo mama alizoea kuniona nayo. Lakini pia hali yangu niliyokuwa nayo nikahisi pengine angenishitukia kwa kujaribu kuvunja amri ya sita na wanaume wa familia ile.
Mama Alipoteremka kwenye gari alinitanzama kwa jicho la udadisi huku akiwa ameshika kiuno na funguo za gari ameningi’iniza kwa kuzizunguusha kwenye kidole cha kati mkono wa kushoto.
“Mwantumu” akaita kwa sauti ya chini.
“Abee mama” nikaitika kwa heshima huku macho yangu yakiangalia chini kwa aibu. Nilikuwa nahisi kama vile purukushani zote zilizofanyika ndani mle kuanzia asubuhi mama alikuwa ameniona, kumbe ulikuwa wasiwasi wangu tu. Nikasikiliza kwa makini alichokuwa anataka kukizungumza mama.
“Hivi naota au ni macho yangu?” alizungumza mama huku akinikazia macho kwa makini zaidi.
“Abee mama” nikaitika kwa wasiwasi huku nikiwa bado kuelewa mama alikuwa anamaanisha nini.
“Wewe ni Mwantumu ninayemfahamu mimi au ni mtu mwingine?”
“Kwanini mama?”
“Unaniuliza kwanini! Umeanza lini kuvaa nguo za hivyo?” Mama alihoji kwa makini na wasiwasimkubwa. Ndio lazima awe na wasiwasi kwasababu alikuwa anaifahamu vizuri sana familia yetu kule kijijini Tanganyika. Hakuwahi kutegemea kama siku moja angeweza kunikuta nikiwa nimevaa mavazi kama yale. Wakati wote alikuwa akiniona nimevaa magauni marefu na kichwani nimejitanda kwa ushungi ama khanga ndefu.
Basi lile swali lake likanifanya nipoteze muelekeo kabisaaa, Nikapeleka mkono kichwani na kujikuna pasipo kujibu kitu. Sasa ningejibu ninindugu msomajihebunisaidie, hakuna.
“Si nakuuliza wewe, au umekuwa kiziwi?” mama akahoji kwa sauti ya ukali kidogo.
“Aam mama..mimi…nina, nina…” nilishindwa hata kujitetea kwa kuzungumza uongo.
“Hee! Hii ya leo kali” mama alizungumza huku akipiga piga makofi kuashiria mshangao.
Nilibaki kimya huku nikiwa nimetawaliwa na aibu na haya. Unafikiri ndugu msomaji ningezungumza nini? Au ningejitetea vipi mbele ya mwanamke yule ambaye yeye pekeyake ndio hakufurahishwa na mavazi yangu, wengine wote waliyapenda na kunisifia nimependeza.
“Kwanza hebu sogea hapa” alizungumza mama kwa msisitizo huku akiniita kwa mdomo pamoja na ishara ya mkono.
Nilishituka kidogo na kumtazama kwa kuibia huku nikijawa zaidi na wasiwasi, nikaona sasa kiama kilikuwa kimenifikia, kiranga chote kwisha, uchovu wote kwisha, ulegevu legevu wote kwisha.
“Hebu niangalie usoni unakwepesha nini?” mama alizungumza huku akinishika kidevuni na kuniinua kichwa changu nimuangalie usoni.
“Haya niambie, umetoa wapi hizi nguo?” mama aliendelea kuzungumza kwa sauti ya chini lakini iliyokuwa imejaa msisitizo na ukali.
Niliinama chini huku nikihofia kumwambia kuwa nilikuwa nimenunuliwa na kaka Imran. Ningeanzia wapi unafikiri kumtaja kaka Imrani? Thubutuu! Hata akili ya kujiongeza nikose.
“Si nakuuliza wewe?” mama alizungumza kwa sauti ya juu zaidi baada ya kuniona nimekaa kimya.
Mungu hamtupi mja wake ndugu msomaji, baba aliweza kusikia mke wake akinihoji maswali yale yaliyokuwa yakihitaji akili nyingi sana kuweza kuyajibu kwa ufasaha.
“Kuna nini tena?” baba alihoji huku akiwa amesimama mlangoni.
“Sekiza mume wangu umeona hiki kituko?” mama akazungumza huku akinioneshea kidole pale nilipokuwa nimesimama.
“Wewe mwanamke unawezaje kumuita mtoto wa mwenzako kituko?” Baba alizungumza kwa sauti kali huku akionekana wazi hakuwa amependezwa na kauli ile ya mama.
“Inamaana unaona sawa tu hivi alivyofanya” mama alihoji huku akiwa amepunguza jazba kutokana na kukatwa makali na mume wake.
“Amefanya nini?”
“Inamaana mume wangu huoni mambo haya anayoyafanya huyu binti, kweli mume wangu?”
“Mambo gani sasa, si uzungumze?” baba akazidi kuzungumza kwa ile sauti yake ya ukali.
“Haya mavazi na Mwantumu ni wapi na wapi?” mama akazungumza kwa kulalamika na kuhisi mume wake alikuwa akimuona mkosaji.
“Ah! Kama ni mavazi si maamuzi ya mtu bwana, utamlazimishaje mtu kuvaa mavazi ambayo hayapendi” Baba alizungumza kwa sauti ya polepole.
“Lakini mume wangu, wazazi wake wakimkuta hivi binti yao si itakuwa uhasama mkubwa?” mama alijaribu kufafanua na kuitetea hoja yake ionekana kuwa na nguvu.
“Hakuna bwana, huyo naye ni mtu mzima anafahamu bayana zuri” Baba aliendelea kuzungumza kwa kunitetea.
Jamani nyie kumbe baba alikuwa na roho nzuri kiasi kile, sikuweza kuamini kwakweli. Kama wababa wote Tanzania wangekuwa na roho kama ya mzee Sekiza, nafikiri nchi yetu ingekuwa na maendeleo. Mungu ambariki baba kwa roho yake ile.
Wakati baba na mama walipokuwa wakiendelea kunijadili, Fadhili naye akafika kutokea ndani na kusimama hatua chache kutokea pale tulipokuwa.
“Heti Fadhili mwanangu, hebu nisaidie hili jambo” mama alizungumza baada ya kumuona Fadhili amefika pale.
“Kuna nini mama” Fadili alihoji kwa wasiwasi baada ya kuniona nimejiinamia kwa wasiwasi mbele ya watu wale.
“Hivi huyu Mwantumu ndivyo alivyokuja hivi?” alizungumza mama.
“Kwani amekuwaje mama?” Fadhili akahoji kama vile hakuwa ameelewa alichokuwa anakimaanisha mama.
“Hizo nguo kule kijijini kwao anaweza kuvaa kweli?” mama alihoji kwa msisitizo.
“Ah kule ni kijijini mother, huku ni mjini mwache aendane na mazingira” Nikamsikia Fadhili naye akizungumza kwa kunitetea.
“Inamaana na wewe unaunga mkono upuuzi huu?” mama akazungumza kwa mshangao.
“Sio hivyo mama, mbona sister Naya anavaa hivyo hivyo?” Fadhili alizungumza kwa kumtolea mfano binamu yake Mainaya.
“Mainaya ni binti yetu, lakini huyu ni mtoto wa watu Fadhili” mama alizungumza kwa msisitizo.
“Mama nawe unapenda ku-complicate mambo ambayo hayana hata maana” Fadhili alizungumza na kumfanya mama kupoteza makali yote aliyokuwa ameingia nayo.
“Njoo uchukue mizingo hii upeleke ndani” mama alibadilisha mada na kuzungumza huku akitoa mifuko iliyokuwa na vyakula ndani na kuiweka chini. Huku nikiwa na aibu kibinti cha watu niliinama na kuchukua mizigo ile na kuipeleka ndani.
Muda wote huo baba alikuwa amesimama kimya akimsikiliza mke wake Bi. Fatma alivyokuwa akibishana na Fadhili. Kila mara alikuwa akitoa tabasamu hasa Fadhili alipokuwa akimjibu mama yake. Alipoona mama amepoa na kubadilisha mada, baba akajivuta taratiibu kuingia ndani.
Nilishukuru sana uwepo wa Baba na Fadhili katika sakata lile, sijui ingekuwaje kama siku hiyo ningekuwa pekeyangu nyumbani pale. Nilipokuwa naingiza mizigo ile ndani nikamtazama Fadhili kwa jicho la kuibia. Kumbe Fadhili naye alikuwa akinikodolea macho muda wote huo, hivyo nilipomtazama tu, macho yetu yakakutana. Fadhili alibonyeza jicho moja kunikonyeza na kuachia tabasamu kwa mbali ambalo lisingeweza kuonekana na mtu mwingine yoyote zaidi ya mimi. Namimi baada ya kuona mwanaume niliyekuwa nampenda akinikonyeza kimahaba nami nikamjibu kwa kuuma midomo yangu ya chini na kuunganisha na tabasamu huku macho nikiyazunguusha utafikiri nilikuwa nataka kukata roho.
Nilipokuwa nikiingia ndani na mizigo huku nikiwa nimejawa na furaha ya kuuteka moyo wa Fadhili nikakutana tena na Bi. Fatma amesimama kwenye korido akinisubiri. Kwa jinsi alivyokuwa amesimama kwa hasira nikapatwa na hofu tena.
“Hivi wewe unanitafuta nini?” mama lihoji kwa hasira.
ENDELEA

➡️Itaendelea
🔞WAKUBWA TU:TAZAMA VIDEO ZA WAKUBWA LIVE UJIONEE STAILI KALI ZA KUMFIKISHA KILELENI MPENZI WAKO
No comments: