TIBA YA KUKABILIANA NA UKAVU UKENI
TAZAMA HAPA UTAMU NA UTUNDU WA KITANDANI JENGA HESHIMA YA NDOA
Tatizo hili linawagusa wanawake wengi na hupelekea kuchukia tendo la ndoa kwa ujumla.
🌱🌱🌱🌱Wengi wao tatizo hili husababishwa na msongo wa mawazo, magonjwa ya zinaa au fangasi, ngozi kavu, chakula anachokula mtu, woga, wasiwasi nk. 🌱🌱🌱 Tiba asilia ya tatizo hili.
Mafuta ya ufuta
Haya ni mafuta yanayosaidia kuondoa tatizo. Unatakiwa kuchukua pamba na kuloweka kwenye mafuta hayo, paka kwenye ukuta wa uke wako kisha fanya masaji kidogo. 🌱🌱🌱🌱Baada ya hapo weka pamba hiyo kwenye tundu la uke. Acha kwa muda wa usiku mzima, kwa kufanya hivyo itasaidia kuondoa ukavu wote.
🌱🌱🌱🌱Onyo. Kama utakuwa na vipele kwenye uke vya aina yoyote, usitumie mafuta hayo.
_ Aloe Vera, Zafarahani ‘Saffron’ na Ashwagandha
🌱🌱🌱Changanya vyote kwa pamoja na maziwa, kunywa kila siku utatibu tatizo lako.
_ 🌱🌱🌱🌱🌱Vitamin E
Tumia vidonge vya Vitamin E kila siku vitakusaidia.
_
Maziwa mgando aina ya Yogurt
🌱🌱🌱🌱Yogurt ina bakteria ambao ni wa asili, inasaidia kuondoa ukavu huo.
Unatakiwa kunywa mara kwa mara kwani kwa kufanya hivyo itazaa homoni za kukusaidia.
_ 🌱🌱🌱🌱Mbegu za uwatu
Chukua glasi moja ya maji, changanya na mbegu kiasi, chemsha kwa dakika 15, yakishapoa kunywa utaona matokeo. Unaweza kunywa kadri uwezavyo, ukiona umepona acha.
Maji ni muhimu
Kama una tatizo hilo zingatia unywaji wa maji kwa wingi, tumia maji glasi 8-10 kwa siku.
🔞WAKUBWA TU:TAZAMA VIDEO ZA WAKUBWA LIVE UJIONEE STAILI KALI ZA KUMFIKISHA KILELENI MPENZI WAKO
No comments: