UTAMU WA BINAMU 45





SEH.45  Nilisikia simu ikiita tena na kungalia alikuwa ni dada binamu.Na niliamua kuipokea na siku ongea kitu.Na swali la kwanza kuniuliza je nilikwambia usifanye nini na wewe umefanya nini?.Hapo kwa haraka haraka nikamjibu uliniambia nisipende kulala uchi na mimi nimejisahau  nimelala uchii.Aaaaaahhhh aliangua kicheko na kusema yaani wewe ni kiboko sasa nakuambia usijaribu tena.Haya lala zako nitakuwa nikishituka nakupigia simu maana huyo beki tatu ni sooo.Daaaaha mwaka huu nisipokufa kwa ngono basi nitakufa kwa kufumaniwa na mjomba ndo mawazo yaliyogonga haraka haraka kicwani mwangu mara baada ya dada binamu kukata simu.
Sijui hata ilikuwaje nikapitiwa na usingizi na nilipokuja kushituka ilikuwa ni asubuhi.Kesho kama kawaida waswahili husema paka akiondoka panya utawala.Basi na beki tatu akataka tuende kule gaerden kwenye swimming pool tukaogelee.Tayari na mimi kwa siku chache hizo nilizokaaa nilishaanza kujua na kufurahia kamchezo hako cha kuogelea.Beki tatu aliendelea kunifundisha huku mapenzi na mahaba ya kizungu yakawa yanaendelea.Binti huyo hakutaka kuelewa wala kusikia eti mapenzi ya kushare hayafai.Tukiwa huko ndipo niliendelea kumdadisi ili kuendelea kujua aukweli wa familia hiyo ya mjomba.Katika kumdadisi dadisi alinionya kuwa nitakayoyaona na kuyagundua hapo ni siri na siku nikithubutu kuyatoa ndo siku hiyo hiyo nitakayopoteza maisha.
Alinambia kuwa mjombaa wangu anatabia mbaya sana na pia ana imani za kishirikina.Beki tatu huyo alinieleza kuwa kwanza huwa anaiba chupi zao na kuzipeleka kwa mganga.Pia wakati mwingine anatakaga damu ya hedhi ya mwanamke na yupo tayari kukulipa ghali.Kwa hiyo na wewe huwa unampa ilibidi nimuulize?Hapo alicheka kidogo na kuniambia yaani ukiingia kwenye nyumba hii kuna vitu anakufanyia unakuwa kama zuzu alafu unakuwa tayari kufuata kila unachoambiwa ata kama ni kibaya aliendelea kufafanua.
****ITAENDELEA***

  🔞WAKUBWA TU:TAZAMA VIDEO ZA WAKUBWA LIVE UJIONEE STAILI KALI ZA KUMFIKISHA KILELENI MPENZI WAKO




No comments: