UTAMU WA BINAMU 47





SEH.47  Kutokana na dozi nzito niliyompatia binti huyo usiku wa jana na kule bustanini basi usiku huo hakunisumbua hivyo kila mtu alilala kwenye chumba chake kwa amani na upendo kabisa.Usiku huo kwangu ulikuwa wa mawazo sana nikijiuliza na mimi nifanyaje ili niweze kutoka kwenye kifungo hicho cha maisha.Nilifikiria kuondoka lakini nilishindwa hasa nikikumbuka ahadi dadabinamu alizonipa  kuwa atamwibia baba yake hela na kunipa mtaji wa kutosha.Nilipitisha azimio la kuwa mvumilivu na kusubiri nini kitataokea.Niliwaza mpaka nikajikuta nimepitiwa na usingizi.
Basi maisha yaliendelea kwa mtindo huo na hatimaye mjomba na mkewe walirudi hiyo safari.Mjomba alionesha kunikubali sana kutokana na utendaji wangu mzuri wa kazi za hapo nyumbani.Alinambia nisiwe na hofu maana licha ya kuwa atanitafutia kazi lakini kila mwisho wa mwezi atakuwa ananilipa hela ili niweze kusaidia familia yangu.Nilishangaa sana ailipofika mwisho wa mwezi kweli alinilipa shilingi laki tano hela ambazo sikuwahi kuzipata tangia nimalize chuo.Miezi ilizidi kwenda na mwezi uliofuata akanipa laki sita.Akawa anasisitiza kuwa bado anamtafuta mfanyakzi wa kiume kwani siku hizi kumpata mtu afanye kazi kama houseboy ni kazi kweli.
Sijui mjomba aliniwekea nini maana miezi ilizidi kwenda na kutokana na mshaara mzuri aliokuwa akinipa sikuona hata haja ya kutafutiwa hiyo kazi maana mshaara nao usingezidi laki sita.Alafu hapo hakuna hata kazi za kutishia mda mwingi kama nikiwahi kuamka mpaka saa tano asubuhi nakuwa free.Nakula chakula kizuri nalala vizuri nakula bata na beki tatu wachilia mbali penzi  la kwenye simu ambalo nilikuwa nalipata kutoka kwa dada binamu.Jamani akili yangu iliganda kwa kweli nisijue nini cha kufanya.
****ITAENDELEA***


  🔞WAKUBWA TU:TAZAMA VIDEO ZA WAKUBWA LIVE UJIONEE STAILI KALI ZA KUMFIKISHA KILELENI MPENZI WAKO




No comments: