UTAMU WA BINAMU 61





SEH.61 “Shikamooo uncle nilimsalimia kwa kumpa mkono.Marahaaba uncle kumbe ulikuwa ndani.Ndio uncle shangazi alikuwa amenituma hivyo nilivyorudi nikaona nisimsumbue kwanza maana niliambiwa ameingia chumbani kwake, kumbe  na wewe uncle tayari ulikuwa umeshakuja.Niliomgea maneno mengi blia kuweka nukta.Yeaha nimerudi kuna mambo yalikuwa hayaja kaa sawa ila kesho nitaondoka na ndege ya jioni nilikata tiketi ya go and return.
Basi tukarudi sebuleni na kuendelea na stori za hapa na pale.Ila kila nilipomuangalia kwa kweli nilimuogopa sana na kumuonea huruma kutokana na vifungo vya kimaisha alivyokuwa navyo.Basi baadaye alinipa baadhi  ya document nimuingizie kwenye lap top yake.Basi akaniacha hapo sebuleni na yeye akaingia chumbani.Nilifanya kazi hiyo huku nikichati na kuperuzi kwenye mitandao ya kijaamiii.Baadaye nilimaliza na kumplekea kule chumbani.Nilipogonga chumbani na kusema kuwa nimemaliza kazi alitoka mama mjomba huku akiwa amevaa khanga moja.Alivyonioa alitabasamu na kunirembulia macho.Nilitabasamu pia na kumpa ile lap top.
Siku hiyo ikawa imeisha kihivyo.Usiku kama kawaida dada binamu alinipigia simu na alinieleza kwa sasa yupo bize sana na maaandalizi ya mwisho ya mitihani ya kumaliza form six.Akanisihi niendelee kuvunmila kwani tunda langu lipo amenihifadhia.Nilimwitikia tu lakini laiti angejua kilichokuwa kikiendelea huku nyuma ya pazia angeachana na mimi tu na kujaribu kunisahau.Usiku nilifikiri sana juu ya mambo yote yaliyonitokea nikajikuta nakata tamaa kabisa na maisha yangu.Niliamka na kupanga nguo zangu zote tayari kwa kurudi zangu kijijini.
****ITAENDELEA***


  🔞WAKUBWA TU:TAZAMA VIDEO ZA WAKUBWA LIVE UJIONEE STAILI KALI ZA KUMFIKISHA KILELENI MPENZI WAKO




No comments: