WANAKE TU: Je unamkunaje Mumeo kuhakikisha kakata kiu ?





Wewe mwanamke wewee.... Utamtukanaje mumeoo...? Anaekupa usingizi na raha ya mwili wako..? ๐Ÿ‘Œ๐Ÿ‘Œ๐Ÿ‘ŒKitu kidogo tayari ushaanika aibu nje... Neno dogo ww hulifanya kubwa... Unajitia una hasira saana... Sasa ww tibua.... Mwenzako yy anaenda kutibu... ๐Ÿ‘Œ๐Ÿ‘Œ๐Ÿ‘Œ๐Ÿ‘Œ๐Ÿ‘ŒTuwache huo ujinga... Mwanamke umemshikia mumeo kiuno unamsimamia km Askari doria...unampara kwa maneno... Nyumba ya sitaa huko wanakusikia wewe... Looooh... Huo usungoo.... ๐Ÿ’ž๐Ÿ’ž Hujui bugdha zinachoshaa...? Maneno maneno yanaumiza..? Hujui kauli taam kwa mume swadaka... Kauli taam kwa mume humpoza machofu yote...? ๐Ÿ‘Œ๐Ÿ‘Œ๐Ÿ‘Œ๐Ÿ‘Œ๐Ÿ‘ŒKauli tam kwa mume humzidishia mapenzi kwako...? Kauli tam kwa mume humsahau wa nje..? ๐Ÿ’ž๐Ÿ’ž Basi km hujui tambua.... Mume ni mtoto ahitaji kulelewa na kuongozwa... Nasisi ndio maana tukapewa cheo cha umama na Allah Subhana wataalah.. ๐Ÿ‘Œ๐Ÿ‘Œ๐Ÿ‘Œ๐Ÿ‘Œ๐Ÿ‘ŒKwahiyo tuna uwezo wa kum-shape mwanamme hadi akakaa sawa... ๐Ÿ’ž๐Ÿ’ž Midomo michafu jamani km karo za mavi.... tupunguzeee....๐Ÿ‘Œ๐Ÿ‘ŒWanawake wengii huwachwa kwa midomo michafu... Matusi... Kitu sikitu talaka yngu... Utaolewa na wangap... Mwanamke ww na una ila hukaliki...? ๐Ÿ‘Œ๐Ÿ‘Œ๐Ÿ‘ŒMmmhhhh... Nashangaa saana mume hurudi kazini kwa maana anaenda kwake kupumua... Ila akifika presha hupanda... Kwa mvua ya matusi itayoanguka huko... ๐Ÿ‘Œ๐Ÿ‘ŒNa pia kuna wanawake mnajiona wazuuri kwamba mwanamme hata umfanye vp hawez kwenda kwengine... Hahaaaaaahaaahhhh ๐Ÿ‘Œ๐Ÿ‘ŒMnajidanganya saana... Ww bakia na mshepu wako..... Rangi yko... Sura yko.. Matako yko... Mguu wako. 
nywele zako... Urembo wako... Ila km una gubu la maneno ni khulka mbaya... ๐Ÿ‘Œ๐Ÿ‘Œ๐Ÿ‘Œ๐Ÿ‘ŒUpoo... Utakimbiwa maana uzuri wa mwanamke ni tarbia njema... ๐Ÿ’ž๐Ÿ’ž kuwa na kauli taam ya kumtoa nyoka pangoni... ๐Ÿ‘Œ๐Ÿ‘Œ๐Ÿ‘Œ๐Ÿ‘ŒSio kaleta samaki maghribi.... Hhe usiku huu vumba unampga nao wa uso...
Au aaah.... Safisha mwenyeoo.. Nshakoga saiv... Mmmhh... Haifai.... Au mume atakwambia mke wangu nilishe... Utajibu... Umekuwa mlemavu huna mikono yakula...? ๐Ÿ‘ŒAu umekuwa mtoto huwez kula mwenyewe... Au mgonjwa una maradhi ya baridi weye...? Jamaniiiiii kauli mbaya hiziii..... _  


  ๐Ÿ”žWAKUBWA TU:TAZAMA VIDEO ZA WAKUBWA LIVE UJIONEE STAILI KALI ZA KUMFIKISHA KILELENI MPENZI WAKO




No comments: