Nawashwa Chini 07





SEHEMU --. 07
ILIPOISHIA..
kama unakumbu kumbu tuliishia pale ambapo jeff alipoingia katika chumba cha jackrine alikuta kuna matone mazito ya damu yaliyoanzia mlangoni yakielekea chooni na pele kitandani jackrine hakuwepo..
SONGA NAYO..
..moyo wa wasi wasi ulizidi kunitanda hofu pamoja na mashaka vyote vilinizunguka kichwani kwa wakati mmoja. niliendelea kuyafatilia yale matone taratibu mpaka nijue yameishia wapi. matone yalizidi kuelekea chooni na yalipofika katika mlango wa choo hapo ndio ilikuwa kikomk chake nami nilisimama kwa mda nakushusha pumzi kidogo kisha nikausukuma ule mlango kwa tahadhari huku macho yangu yakiwa makini kuangalia haraka ndani ya choo kile "Nilijua utakuja jeff" sauti ya jackrine ilitoka baada ya kuingia chumbani mule "we.! we jackrine ndio nini sasa kututisha hivyo??"nilimuuliza baada ya kumuona jackrine akiwa mzima hana hta kovu "unauliza ndio nini?? we hujui ni kwanini?? hujui nimefanya hivyo kwa ajiri ya nini?, angalia nimekata kiganja changu nakuipaka ile damu pale ukutani ikiwa ni kiapo changu kuwa lazima jeff awe nami iwe isiwe lazima jeff utanikubari tu" alisema jackrine huku akizidi kujifunga prasta kwenye kiganja chake akichojikta makusudi akisena ni kwa ajiri ya kiapo chake "unawazimu wewe sio bure..kwo unajikta eti unaweka kiapo hahaha!! hicho kiapo chakk namimi nasema hivi sikubri hata tone kutoka na mtoto wa boss kwanza boss mwenyewe..." jeff kidogo alopoke lakini haraka baada ya kukumbuka aliekuwa anaongea nae alikuwa ni mtoto wa boss alipindua pale pale "kwanza bos nae nataka nimwambie aniongeze mshahara" jeff alibadirisha haraka kumpoteza maboya lakini jackrine hapo kuna kitu alihisi kafichwa licha ya kuwa alimnyamizia kimya jeff akijifanya hajashtuka "Kuna kitu unanificha kuhusu mama eti nitakupeleleza taratibu mpaka nijue ukweli wewe na mama yangu mnamahusiano gani" jackrine alijisemea kimoyo moyo huku akimtizama jeff usoni "mungu wangu sijui kaelewa aah!! ila hawezi elewa lolote hapo" jeff nae alijisema kimoyo moyo bila kujua jackrine ameshaanza kuushtukia mchezo wao yeye na boss lady susan.. "Sawa jeff mi nimeumia kwa ajiri yako ila bado hupati athari nakupenda we hunipendi sawa haina shida itafika mda utanitafuta kwa tochi na usinipate" alisema jackrine "wewe hujanileta hapa so huwezi kunirudisha nilipotoka" nilimjibu kijasiri jackrine tena kuonyesha simuigopi nilimtizama machoni "anhaa!! sawa haina shida karibu mchezoni" alisema jackrine huku akinitizama kwa jicho la uchu tena bila kukwapua macho "fresh tu" nilimjibu nikiamini hamna anaeweza kunitoa kwenye jengo lile ikiwa maddam susan hajaamuru..
*******************************
usiku ulifika na maddam susan hakurudi siku hiyo sikuweza kumuuliza mtu yeyote kaa kuaa najua tu ningeuliza ingezua mjadala na maswali mengi kwanini nimuulizie boss, hivyo niliamua kuvunga tu, tukiwa sitting room tumebaki wawili tu tukiangalia movie ya jumong mimi na house girl maria, maria binti flani la kinyaturu jeupee limejasa mahipsi na jina lake la kweli sio maria kwa maelezo ya mlinzi nakumbuka kuna siku mlinzi alinambia "maria sio msukuma wala nini maria ni myaturu huyo mtu wa singida kabisa tena jina lake ni yundu,hulioni lilivo jeupee paja nene na bonge la tako kama boss wake hahahaha..! vipi mbona unaliulizia unalitaka niiini??" nilikumbuka kisha nikaendelea kutizama maria akiwa amekaa kimitego huku akiwa amevali kanga tu aliojifunga magebani nakuliachi paja moja likiwa nje. nilijikuta nikizubaa sana kushangalia upaja wa binti yule mpaka pale aliposhtuka nakukaa vizuri. baada ya mda aliondoka kuelekea chumbani mwake huku mimi akiniacha nikiendelea kucheki movie haikupita muda kilisikia kilio cha kukmba msaada kikitokea ndani ya chumba cha binti huyo maria "NYOKAAAAA NYOKAAA" baada yakusikia kelele zile nilitoka kama mshale nikiwahi chumbani mwa maria kutoa msaada, nilifika nakuusukuma mlango kisha nikaingia mzima mzima nae maria alibanza nyuma ya mlango baada ya kuingia tu aliufunga haraka bila mimi kujua niliendelea kuuliza "yuko wapi huyo nyoka??" nilimuuliza maria mda huo akiwa mgongoni mwangu akijificha ficha "yuko wapi???" nilizidi kumuuliza huku nikitupia jicho kila kona "kakimbilia huko uvunguni" alisema maria "nilijisogeza mpaka kilipo kitanda chake nakuinama chini kuchungulia kqa kuwa ilikuwa usiku lcha ya taa kuwaka kwa mwanga mkari lakini mwanga wake haukufika uvunguni "kuna giza kweli nipe simu yako nimulikie" nilisema "au acha ngoja nikamuombe mlinzi tochi yake ndio inamwanga mkari" nilisema kisha nikasimama ile nageuka tu nilimkuta maria akiwa amekiachia kikanga chake nakubaki mtupu kama alivyozaliwa "unamaana gani kuvua nguo" nilimuuliza huku nikimtizama kwa hasira "nataka unifanyie kile ulichomfanyia boss" alisema maria moyo ulilipuka "unasema?? " "mi nimeshamaliza" alijibu maria "toa ujinga hapa" nilisema nakumsukuma nipite "yani ni hivi Ukitoka tu nje napiga mwano unataka kunibaka na pili nitaisambaza siri yako na mume wa boss akirudi nitamwambia" alisema maria huku akinitizama,
Waungwana eeeh!!! #rudi___nyumbani__kumenogaaa je jeff atachomoaaaaa????
#BAKI__NA____MIMI ..07



No comments: