UMUHIMU WA KUFUKIZA UDI KWENYE UKE
. ⏳wanaume hupenda jotohuko chini kwa bibi aka kwenye nunu shoga angu sasa ukiwa unataka kunukia vizuri na kupasha huko chini nunua udi👌
⏳sijui kwenu nyie lakini mimi ndani kwangu sikosi udi, na huwezi kuwa na udi bila kichotezo.
⏳siutumii tu katika kujifukiza nguo zangu bali na mwili pia,
JINSI YA KUJIFUKIZA
⏳utachukuwa kichotezo chako siku hizi vipo vya kila aina mpaka vya umeme, weka udi wako juu pale kama unatumia cha umeme kipachike kwenye socket udi ujichome,
⏳ukifikia unapofuka moshi ukiwa kama ulivyozaliwa, na peke yako hata mumeo asikuone kwenye hili chuchumaa weka kile kichotezi chini kikilingana na anapoingia mumeo/kwenye kuma👌
⏳ uruhusu moshi wa udi uingie ndani huku ukiwa umejitanda kanga ndio unaingia vizuri kaa hivyo kama kwa dakika kumi halafu toa, endelea kuacha udi uendelee kunukia ndani.?
⏳Hii ni nzuri ikifanyika wakati unajiandaa kufanya mapenzi na mumeo sio aje masaa mawili baadaye ule ujoto utakuwa umeisha?
⏳ akiwa labda sebleni anasubiri kuingia chumbani wewe fanya vile akifika hata baada ya dakika kumi bado lile joto litakuwepo, kwahiyo kama mumeo anapenda jotojoto fanya hivyo ulee ndoa yako unadhani kutunza mume kazi ndogo..shaurilo🤣🤣🤣
TAHADHARI: kama mumeo ana allergy akisikia harufu kali anaumwa please usijifanye tena wewe ndio umefundwa ukamtoa mtoto wa watu roho, maana kuna wanaume wengine yani yeye mafua hayamuishi kamwe akisikia tu harufu basi atapenga na chafya hata mara kumi, hapo tena kutakuwa hamna raha bali karaha. umenisoma eehh Nakwambia hivi mumeo atoke nje kwa tamaa👌 zake lakini sio kwamba umeshindwa kumtunza, upo ILI UJIFUKIZE VIZURI MTOTO WA KIKE WAPASWA UWE NA CHETEZO LA KUWEKEA MOTO NA SASAIVI KUNA CHETEZO ZA UMEME USHINDWE WEWE TU👌🏾SIO KIBATI BIBIWEE UTAUNGUZA HIYO NUNU ULIE NA KUNGWI MAANA VIBATI VINGINE VYARUSHA MOTO👌🏾👌🏾 MWANAMKE SHURTI KUWA NA KIJIHARUFU KIZURI KWENYE KUMA HATA BWANA AKIKUTANUA INAMPA BURDAANI👌🏾
No comments: