Vigezo vya kutoa pesa kwa Mwanamke Ambaye sio Dada yako Wala Mama yako

Image result for giving her money
1) kwanza lazima awe mpenzi wako na asiwe mpenzi wa maneno yaani lazima uwe Na ukaribu naye wakutosha
Haya mambo ya tutaonana tu mara samahani naomba nitumie 10,000 au 20,000 unatoa utachukia wanawake bila sababu kwani ukiwaendekeza utatoa hizo hela wakati dada zako hata hela za chupi hawana, WAAMBIE SINA KABISA.
2) Mwanamke wa kumpa PESA ni Yule ambaye ukimtaka unampata na wakati mwingine anakuwa na hamu ya kuwa na wewe na siyo yule aliyekupa kwa bahati mbaya hajarudi tena halafu unasumbuka kutuma hela itafika wakati utamtukana, MWAMBIE SINA USIUMIZE KICHWA
3) Umemtokea mtoto wa kike ameonyesha uelekeo lakini ubize haumuishi,mara Kila ukimuhitaji yupo siku zake, wakati dunia nzima wana siku moja tu,
MUACHE ABAKI KUWA rafiki ila PESA usitoe kabisa Hapo sababu mpo kama 50 hivi wote anacheza na akili zenu,
4) Demu anayetakiwa kupewa PESA ni yule ambaye siku zote yupo hapo kwa ajili yako yaani hata kama ana wengine utaweza kujua na usitake kujua kabisa,
Maana Kila ukimuhitaji anakuja kwa roho safi na wakati mwingine ana kutafuta wewe BABY I MISS YOU😜😜 mpe pesa hata Kama ajaomba wewe kopa tu Kama huna😂😂
Mwanamke ambaye hawezi kukwambia bebi nina hamu na wewe na akauliza lini upo free na muda gani nije na akaja kweli, HUYU AKIOMBA PESA MBLOCK MAPEMA KABLA HUJAMZOEA AKAKUPA SHIDA,
Mwanamke ambaye ukimuonyesha kuwa unamuhitaji Kwa sex sababu zake ni zaidi ya milioni MFANYE AWE mpenzi MTAZAMAJI TU (rafiki) SABABU HAKUFAI HUYO yupo na wewe kwa sababu ya PESA ZAKO TU USIPO MPA ATAKULIZA TU




Leave a Comment

No comments: