HAYA NDIO MAZOEZI YA KUUFANYA UKE KUA MDOGO NA KUBANA..[KEGEL EXERCISE]






Sababu nyingi sana zinaweza kuchangia kupungua kwa nguvu za misuli ya uke na na tumbo la chini kwa ujumla ikiwemo ujauzito, umri mkubwa, kuzaa watoto, upasuaji na kua na uzito mkubwa.
Mazoezi ya kegel husaidia kukaza misuli inayoshikilia viungo vya chini ya tumbo ikiwemo mfuko wa uzazi, kibofu cha mkojo, utumbo na uke.. Wanawake wengi ambao wana misuli iliyolegea hawafiki kileleni kirahisi wakati wa tendo la ndoa na wakati mwingine huhitaji uume mnene ili kusugua mishipa yao ya fahamu ya uke kirahisi na kufika kileleni kuliko wanaofanya mazoezi haya. Lakini pia mzazoezi haya husaidia kuzuia mkojo kutoka wakati wa kucheka, kushindwa kuzuia mkojo ukibana na kushindwa kuzuia choo kubwa ikebana.. Elimu ya afya ya nchi ambazo hazijaendelea kama Tanzania hujali zaidi kutibu na kuzuia magonjwa ila sio matatizo kama haya.. Hivyo kama mwanamke una tatizo hili au mwenzako ana tatizo hili twende pamoja ili uweze kurudi kwenye maisha yako bora ya zamani ulipokua mbichi.. Jinsi ya kufanya mazoezi haya….



No comments: