Mwanamke wa kuoa Anasifa hizi

DOWNLOAD AJIRA DAILY HAPA
1:Wanajua thamani yao wao kuonyesha utupu wao ni kama kujiua wanalinda thamani ya atakaye mwoa.
2:Wanawake wa kuoa niwapekee wanaweza kujieleza walivyo Kwa Mavazi yao ulimwengu hauwabadili maisha yao wao wanaubadili na kuupendezesha.

3: Wanawake wazuri watabia wanavutia uwe na wageni au jirani wanaona maana ya mwanamke ni pambo nyumbani.
4: Wanawake hawa wapekee ambao ardhi inafurahia kutembea juu yakena wao wanakauli nzuri na wakati wote wasikivu.




No comments: