JINSI MAPENZI YANAVYOWEZA KUKUPA STRESS
Mapenzi ujue yanaweza kukupa stress adi mama ako akikuuliza what’s wrong-—unawez kumjibu MAMA WE BADO MDOGO UWEZ ELEWA
๐๐๐๐๐๐
Jaribu kusawazisha stress za mapenzi zisije zikakupelekea kufanya jambo ambalo hukulitarajia katika maisha yako na badae ukajutia kwa maamuzi yako

No comments: