MATUMIZI YA KOKWA ZA EMBE KUBANA UKE
Ukweli ni kwamba uke uliolegea hupunguza ladha ya tendo la ndoa kwa wanaume wengi
Tatizo la uke kulegea au kutepeta ni tatizo linalotokana na kulegea kwa misuli ya uke, hali hii husababisha Uke kulegea au wanaita Kutepeta(unanipata bibieee!!!!!)
Mara nyingi wanaume waliooa wake au kuwa na wapenzi ambao wana matatizo ya uke uliolegea au kutepeta hua mara nyingi inatokea wanapoteza hamu ya kufanya mapenzi na hao wake zao au wapenzi wao au hata mwanaume kushindwa kumudu vyema tendo hilo kwa maana ya kutokuweza kurudia bao la pili ikiwa atajitahidi kumaliza kushusha bao la kwanza na kujikuta mzuka wooooooooote umekwisha
SABABU ZA UKE KULEGEA AU KUTEPWETA
Baadhi ya sababu zinazopelekea misuli ya uke kulegea na kusababisha mwanamke kua na uke uliolegea au kutepeta nazo ni hizi zifuatazo;
(a) Magonjwa ya uke
(b) Kushiriki tendo la ndoa mara kwa mara
(c) Kujifungua
(d) Usagaji
DAWA YA UKE ULIOLEGEA AU KUTEPWETA
Chukua kokwa za embe za kutosha zianike juani mpaka zikauke vizuri, zisage hizo kokwa ziwe unga laini
MATUMIZI
Chukua unga huo wa kokwa za embe ujazo kijiko kimoja kikubwa cha chakula changanya na maji ya vuguvugu ujazo wa nusu lita. Tumia hayo maji kunawa ukeni mara tatu kwa siku
Fanya zoezi hilo kila siku mpaka bibi awe mnatoooo
ZINGATIA
Uke utaanza kubana siku ya tatu tu mara baada ya kuanza kutumia dawa.
No comments: