SIFA ZA MWANAUME MWENYE MVUTO KWA MWANAMKE



SIFA ZA MWANAUME MWENYE MVUTO KWA MWANAMKE






Wanawake wengi sana hupenda Wanaume ambao kwa kimo ni Warefu kidogo, maana yake yeye awe chini. Pia awe na Mwili wa wastani, na si kitambi kikubwa (kwani wanaamini wenye vitambi uwahi kuchoka panapo Majambozi.
Mwanaume mwenye mvuto kwa mpenzi wake ni Yule mwenye sifa zifuatazo.
  • 1.       Kwanza awe mrefu wa wastani
  • ,2.       Mwenye macho kama wa kusinzia/meupe pembeni mwa mboni
  • 3.       Mwenye sauti Mzuri na Lugha yake Laini (Maneno Matamu)
  • 4.       Mwenye kujipenda kimavazi (awe na Mpangilio mzuri wa Mavazi) (anayejua kuvaa vizuri)
  • 5.       Anapenda Masihara akiwa na mwenzake (asiwe serious)
  • 6.   Anayependa kuitwa jina Lake kamili (lakini siMara kwa mara)
  • 7.   Anayependa kukumbushia siku ya kwanza kukutana alijisikiaje na Kaka ukisahau yeye atakukumbusha..
  • 8.   Anayeto Zawadi (Hata kama ni ndogo Kiasi gani)
  • 9.   Anapenda kupiga story za kijinga Wakiwa wawili (Kumchokoza, na hata kumbembeleza anapo kasirika)
  • 10.       Mwenye kujali (kuchukulia Tatizo la Mwanamke wake kama serious na si kudhalau)
  • 11.       Mtu asiye jisikia ila mwenye kujiheshimu awapo mbele za watu
  • 12.       Mwenye mwili ulio pangika vizuri (hakunakitambi) na kifua cha wastani
  • 13.    Mwenye sura isiyokunjamana sana


No comments: