HAKUNA NDOA AMBAYO WANANDOA HAWAJAWAHI KUPISHANA
Hakuna ndoa ambayo wanandoa hawajawahi kupishana, kupingana, kutoelewana au kutokukubaliana katika jambo fulani au tabia fulani. Kutoelewa katika ndoa ni jambo linaloweza kujitokeza wakati wowote kikubwa ni kujua namna ya kushughulikia tatizo lolote linaweza kujitokeza katika ndoa yako.
Ni muhimu sana kwa wanandoa kufahamu kila mnapogombana au sababu ya kitu kinafanya kuwe na msuguano, unatakiw a kuwa na ujuzi wa kufahamu kwamba kugombana kokote kusiwe kwa masaa kadhaa, au siku kadhaa au miezi kadhaa. Ni lazima muwe wepesi kuipigania ndoa yenu. Kiburi, kutokujishusha au kuwa na misimamo isiyo na tija katika ndoa yenu, hizo ni dalili ndoa za inayoteketea.
Pia ni muhimu sana kuangalia namna unabishana au unaongea wakati wa kutokukubaliana na jambo lolote. Usiwe mtu wa kubwatuka au kupinga jambo bila kulitafakari kwa kina. Pia focus katika kulishambulia tatizo lenyewe na siyo mwenza wako. Kwa hakika mtashinda vikwazo katika ndoa yenu.

No comments: