Njia 8 zinazoonesha Mwanamke uliyenae atakusaidia kukuletea Mafanikio maishani mwako
Katika moja ya Interview ambayo Barack Obama alifanya na jarida la "Black Enterprise Magazine" la nchini Marekani, muandishi alimuuliza kuhusiana na hali ya uchumi ya Marekani.Aliulizwa, "Bwana Obama, Je una hofu juu ya hali ya uchumi wa Marekani inavyoenda?"Ambapo Obama alijibu, "Hapana, sihofii uchumi wa Marekani, nina hofu na mke wangu..kwa sababu ana idea nyingi kichwani mwake mpaka nashangaa"Hivyo, kama unae mwanamke anaekutia moyo ufanye vizuri zaidi. Huyo mwanamke ni keeper, kama hujamuoa, basi anastahili pete kidoleni kwakeHapa chini nimeelezea njia NANE zitakazokuonesha kwamba Girlfriend wako anafaa kuwa mke kukusaidia ndoto za mafanikio na ndoa imara!
1. Anavaa kimafanikio (she dresses for Success, not to Seduce)Kama kitu ambacho kinawatofautisha wanawake wenye mafanikio na wengine ni mavazi wanayovaa. Wanawake wasio na focus huvaa mavazi ya kushawishi, lakini wanawake walio focused huvaa nguo za heshima. Wanawake wote wenye mafanikio kwa jitihada zao halali huvaa kiheshima, kuanz... Continue reading ->
🔞WAKUBWA TU:TAZAMA VIDEO ZA WAKUBWA LIVE UJIONEE STAILI KALI ZA KUMFIKISHA KILELENI MPENZI WAKO
No comments: