Bidada zingatia haya



Bidada Zingatia haya๐Ÿ‘Œ๐Ÿ‘Œ _ ๐Ÿ’™JICHO ๐Ÿ‘‰ legeza jicho wakati wa kumtazama bwana ๐Ÿ‘Œ sio unalikaza mpaka anaogopa. Ikiwezekana kula kungu manga. Mwanamke ubunifu๐Ÿ‘Œ  _ ๐Ÿ’™PUA ๐Ÿ‘‰ usiseme nna pua mbaya cjui nn ๐Ÿ‘Œ๐Ÿ‘Œ bb ukiongea na bwana ata km unapua km nukta shikashika uku ukijifanya km unamafua ๐Ÿ‘Œ  _ ๐Ÿ’™SIKIO ๐Ÿ‘‰ ata km una sikio km ungo lipambe kwa hereni sio lazima za kuning'inia km mmasai zipo ndogo, akija mume ataliona skio dogo๐Ÿ‘Œ unakwama wapi shoga

_ ๐Ÿ’™๐Ÿ’™๐Ÿ’™NYWELE๐Ÿ‘‰ akuna limbwata zuri km nywele  lkn mmh! Kuna baadhi ya watu nywele zimefungwa mabutu wala azijulikani rangi gani, wala mstari auonekani. Wanume wengine wanapenda kuchezea nywele jamani ๐Ÿ‘Œ๐Ÿ‘Œ sio lazima uvae wigi, suka vizuri ata twende kilioni ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ _

MENO ๐Ÿ‘‰ shoga wee mume mpaka kula denda anaogopa kwa meno yalivyogandia vinyuzi vya spinachi na maharage. mswaki unaona km gundi ya viatu๐Ÿ‘…. Alafu unasumbua watu mume wangu wala anikic,  mara  naombeni jinc ya kutengeneza limbwata wakati wewe mwenyewe limbwata ila ujui kujitumia.

_

ULIMI๐Ÿ‘‰ shoga una kauli chafu km choo cha stendi shuti mume anaona bora arudi nyumbani saa 5 au 6 kawahi saa 4.๐Ÿ‘Œ๐Ÿ‘Œ Na bado atarudi mpaka asubuhi km ujajielewa na kauli zako๐Ÿ‘Œ

_

SURA ๐Ÿ‘‰ bibi poda toka umepambwa cku ya haruc mpaka leo ata wanja huujui๐Ÿ‘Œ๐Ÿ‘Œ utaskia mie poda inantoa vipele ๐Ÿ˜ฌ wanja na lipstik jee zinakutoa vidonda na majipu

_

SHINGO๐Ÿ‘‰ jamani sio lazima cheni lifike tumboni vaa ata fupi๐Ÿ‘Œ๐Ÿ‘Œ jiongeze ๐Ÿ’™๐Ÿ’™๐Ÿ’™MKONO๐Ÿ‘‰ mie sio muhindi nkitembea km nimejifunga mabati shoga vaa saa au nayo nzito km jiwe la fatuma?๐Ÿ‘Œ๐Ÿ‘Œ wengine alhamdulillah waume zetu wanajitahidi kwa mapambo kutununulia ๐Ÿ‘Œ๐Ÿ‘Œlkn wavaaji sasa kichefuchefu pooh!

_VIDOLE ๐Ÿ‘‰ usieneze pete midole yote vaa japo 1 ili mume naye akikushika mkono aone tofauti๐Ÿ˜

_

KIUNO๐Ÿ‘‰ uwezi kuvaa shanga vaa cheni sio kiuno kiko plain km karatasi ya stationary bb inahuu ๐Ÿ‘Œ

_

TAKO๐Ÿ‘‰ Aijalishi uko flat screen bb ๐Ÿ‘Œ๐Ÿ‘Œmtege mumeo hivyo hivyo ๐Ÿ‘Œ  sio weye mchana dera ucku dera, mume anashindwa ata kuona shepu yako ๐Ÿ˜Ž๐Ÿ˜Ž jiachie ukiwa ndani ๐Ÿ‘Œ๐Ÿ‘Œ 


  ๐Ÿ”žWAKUBWA TU:TAZAMA VIDEO ZA WAKUBWA LIVE UJIONEE STAILI KALI ZA KUMFIKISHA KILELENI MPENZI WAKO




No comments: