Jicho la Mahaba husema Maneno saba
🍇JICHO la mahaba , husema maneno SABA.🍇 🍇kuwa na KAWAIDA ya kumtazama MKE/MUME wako kwa jicho lililojaa
_
HUBA. 🍇 Hili Jicho LAWEZA kulainisha MOYO uliosusuwaa. 🍇Na Jicho hili hili hufikisha
UJUMBE hata kama ulimi HAUJATAMKA.
_ 🍇Jicho huomba radhi, Jicho hudeka pia, Jicho ni HAZINA moja kubwa ya kuleta mapenzi katika
ndoa. 🍇Jichunguze unamtazama kwa
JICHO gani mwanandoa mwenzako? Jicho la NDOANI au jicho la JESHINI? 🍇 Lugha ya MACHO ina ladha yake
_
MAALUM kwenye kuipamba NDOA. 🍇Jee wayatumia macho yako ktk ndoa yako ipaswaavooooooo ❓🍇
🔞WAKUBWA TU:TAZAMA VIDEO ZA WAKUBWA LIVE UJIONEE STAILI KALI ZA KUMFIKISHA KILELENI MPENZI WAKO

No comments: